المدة الزمنية 1:13:4

MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (IV) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

131 654 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2021/07/22

Ndoto ni muunganiko wa picha na sauti ambazo mtu huona akiwa amelala.Ili ndoto kuja kwa mtu hupita kwenye lango linaloitwa LANGO LA NDOTO.Ni lango ambalo Mungu amelitengeneza maalum kwa ajili ya kupitisha taarifa zake kuja kwa mwanadamu. Shetani naye hutumia lango hili kupitisha uharibifu. Hata uote ndoto inayotisha kiasi gani,unatakiwa ujue kuwa una mamlaka juu ya hiyo ndoto.Ndoto huwa haiji kwenye uhalisia kama hujaikubali au kuikataa. Katika ibada hii tumejifunza kwa upana kuhusu ndoto,kwanini ukiamka unajikuta umesahau ulichoota,kwanini kuna watu wengine hawaoti kabisa na nini cha kufanya ili uweze kukumbuka ndoto unazoota,nini unatakiwa kufanya unapopata ndoto kutoka kwa Mungu au kutoka kwa adui.Lakini pia watu walipata nafasi ya kuuliza maswali juu ya somo hili na Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando aliyajibu yote. Karibu usikilize somo hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando na ufahamu wako kuhusu eneo la ndoto kwa ujumla utaenda kufunguka zaidi. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ... Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ... Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ... Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:/channel/UCyVhAzjcFaJH7lxgiMQviGQ

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 117