المدة الزمنية 36:37

SIMBACHAWENE AWA MBOGO | AKERWA NA VITAMBI JESHI LA POLISI | SHERIA YA USALAMA BARABARANI MBIONI.

بواسطة Mwananchi Digital
18 134 مشاهدة
0
96
تم نشره في 2020/05/24

Hivi ndivyo Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi George Simbachawene alivyowapa makavu polisi, akieleza kuwa anakerwa na vitambi na anataka utumishi uliotukuka ndani ya jeshi hilo ili ajali za barabarani ziendelee kupungua siku hadi siku, aidha amesema ni wakati mwafaka kwa sasa mapendekezo ya sheria za usalama barabarani yaweze kupelekwa bungeni.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 67