المدة الزمنية 30:44

KISWAHILI - UANDISHI WA BARUA ZA KIKAZI (Darasa la Saba)

بواسطة Global TV Online
25 401 مشاهدة
0
114
تم نشره في 2020/05/14

#KISWAHILI Kushindwa kuandika barua za kikazi ni tatizo linalowasumbua watu wengi sana. Wengine wamesoma mpaka kufika vyuoni lakini wanapotakiwa kuandika barua za kuomba kazi, wanashindwa kufanya hivyo wakati ukweli ni kwamba mada hiyo hufundishwa kuanzia darasa la saba. Leo katika Jipange na Pepa, mwalimu anafundisha Somo la Kiswahili kwa darasa la saba, mada ikiwa ni uandishi wa barua ya kikazi. Furahia masomo katika kipindi hiki cha janga la Corona ukiwa nyumbani. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 13