المدة الزمنية 4:22

Taabu Ya Mikono Yako | Wimbo wa Katikati | R. Makoko

5 874 مشاهدة
0
125
تم نشره في 2020/11/12

Wimbo wa katikati Dominika ya 33 mwaka A Zaburi: 128 Mtunzi: Respice Makoko Waimbaji ni St Paul's Students Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi Karibu kutazama wimbo wa katikati kila wiki pamoja na nyimbo nyingine za kwaya katoliki Kenya na Tanzania katika channel hii Please like, share and subscribe lest you miss out our next uploads. MANENO YA WIMBO KIITIKIO Taabu ya mikono yako(hakika) hakika utaila.x2 MASHAIRI 1.Heri mtu Yule amchae Bwana aendae katika njia zake. 2. Heri yao wale wamchao Bwana watapata heri pia Baraka. 3. Mkeo atakuwa kama mzabibu uzaao ndani mwa nyumba yako. 4. Nao wana wako kama miche ya mizeituni wakizunguka meza.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 58