المدة الزمنية 18:12

MAAJABU 7 YA PAPAI KATIKA TIBA

53 709 مشاهدة
0
347
تم نشره في 2019/12/07

Mpapai unaaajabu mengi katika tiba kwa kila kitu katika mmea wa mpapai ni dawa mfao: Majani, tunda, mbegu, utomvu a mizizi vyote hivyo katika mmeo huo ni dawaa,. Titizo ni elimu amna gani ya kuvitumia vitu hivyo. Katika video hii imeonesha machache katika mengi yanayoweza kutibiwa kwa kutumia mmea huu wa mpapai, na hapo tumeangalia vitu maradhi kama kutopata choo vizuri, matatizo ya figo a kibofu cha mkojo, gono, UTI sugu, tatizo la kukojoa kitadani, ngiri, chango na minyoo.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 27
  • @
    @robertmsilanga7290منذ 4 سنوات Ahsante sana mwalimu kwa kutujuza na kutupa mwanga
  • @
    @jailomhengilolo2898منذ 5 سنوات Barikiwa kwa somo hili nmejifunza Ahsante
  • @
    @dktfelixadrian5418منذ 5 سنوات Asante kwa kuelimisha jamii, ubarikiwe sana.
  • @
    @neemaneema4740منذ 5 سنوات Kaka asante sana mimi nimekuelewa sanaaaaaaa 2
  • @
    @lahelmichaelgeorge5منذ 3 سنوات Axant kwauxhaur mzr py nawez kupt namb yak
  • @
    @alhandroraj8009منذ 5 سنوات jee kwa hernia ya tumbo tiba yake ni gani, tumbo imejaa maji na ningumuu 2
  • @
    @manasebakunda2409منذ 5 سنوات Ahsante Sana kwa elimu hiyo uendelee kutuelimisha zaidi
  • @
    @habibaramadhani4902منذ 5 سنوات Shukrani kwa somo zuri ,ni vyema watu watumie tunda hilo,yaonesha lina siri za ziada.Amina.