المدة الزمنية 14:32

ISHU YA WIZI WA MAFUTA KIGAMBONI RC MAKALA ATINGA/AMBANA KIGOGO/AKOSA MAJIBU

بواسطة HABARIMPYA TV
31 368 مشاهدة
0
118
تم نشره في 2021/06/14

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla leo ametangaza Vita na Mtandao wa wezi wa mafuta ghafi kupitia bomba kuu la mafuta Kigamboni na kulielekeza Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam kuwashughulikia kikamilifu wezi hao ambapo adi leo Jumla ya watuhumiwa 15 wanashikiliwa. RC Makalla amesema hayo wakati wa ziara ya kukagua miundombinu ya Kupokea Mafuta ghafi kutoka kwenye Meli za Mafuta adi kwenye Visima ambapo ameshuhudia uharibifu mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Mkazi mmoja aliechimba handaki adi kwenye Bomba kuu la mafuta na kujiunganishia Jambo lililopelekea hasara ya upotevu wa Mafuta kwa Wafanyabiashara

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 105