المدة الزمنية 42:31

GABO & Jenifer Kwaka, BIG SUPRISE 1B 2021

بواسطة Bongo Cinema
323 267 مشاهدة
0
1.1 K
تم نشره في 2021/09/21

Jenifer Kwaka, Salim Ahmed, Muhamed Fungafunga, Latifah Idabu Kwenye maisha kuna mitizamo tofauti ,kila mtu anamtizamo wake na akili yake inavyomtuma Jordan alijikuta anaingia matatizo makubwa kutokana na mtizamo wake..fuatilia kisa hiki…..

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 193
  • @
    @user-pl1zr5vd8lقبل 3 أشهر How can you marry someone without knowing their background. Nice move with lessons kudoz to all the participants you did great ❤️‍
  • @
    @annaanyosisye8682منذ 3 سنوات Hivi mnajua tunatumia hela kuanglia sauti hamna tunashida na mziki sisi kaaaaaaah!!!! 5
  • @
    @zulachama1067منذ 3 سنوات Hii filamu hilichezwa na mafundi wakujua kucheza filamu sio mchezo, asanteni sana nyote wausika, watching from mombasa- kenya. 5
  • @
    @aishaomar9621منذ 3 سنوات Movie tamu sana Iko na funzo hongera Sana kwako gabo love you more 5
  • @
    @user-fg1ur1lo1fقبل 10 أشهر Nakkubali Gabo mahali upo , nakuombea mwenyezi Mungu akueke na akuzidishie hiki kipaji kizidi kutustajabisha❤❤❤❤
  • @
    @sophiaemmanuel7999منذ 2 سنوات Kwanini sauti zenu hamkuziachia zisikike tunaangaria mapicha na kusikiliza biti, muvi gabo nakukubali 5
  • @
    @nurdinykhalfany9373منذ 2 سنوات Movi kali sana sauti tu ndio imezingua 2
  • @
    @hirdahaule-qe8otقبل 10 أشهر Asante kwa muvi nzuri inafundisha sana wengi wanakaa na Wanawake bila kwenda kwao nifunzo kubwa
  • @
    @renatusmwanakatwe7717منذ 3 سنوات Asante kubwa ujumbe tumejifunza kwa kupitia filam hii BIG UP. Mmh sauti sasa! 6
  • @
    @mauaselemani2133منذ 3 سنوات Nzuri Sana sauti tu imeleta figisufigisu 2
  • @
    @shazilmtupa3262منذ 3 سنوات Shida ya movie za kibongo Ni sauti bhana 2
  • @
    @mugamgandila2597منذ 3 سنوات Move aina sauti ndo maana mnachemka bongo move Amna kitu 3
  • @
    @bassasamuel9281منذ 3 سنوات Mimi piya ninapenda hii movie kupita ngari langu sasa sauti jamani??. 2
  • @
    @ephraimndelwa4073منذ 3 سنوات Ktk filam za kisenge zilizowahi kutengenezwa hapa bongo hii yakwanza, yaani filam ya mabubu wanaotumia ishara kwa kila kitu 2
  • @
    @fabianbwire2262منذ 3 سنوات Movie tamu inatoa funzo but imekaa kwa educated people coz kuna mahali movie haina sauti na maneno yanayo andikwa chin ni kingereza 7
  • @
    @angelinamamu8854منذ 3 سنوات Wangapi wameona kua mtoto anajua kuact ❤️ 25
  • @
    @annemakaka210منذ 3 سنوات Sauti jamani! Duh! Pole sana Gabo, kwa kweli uliyapitia 7
  • @
    @VailethAnderson-vm3ncقبل 9 أشهر Mtoto amevaa vema uhusika,daah Al in all hili n funzo kwakwel,napenda maneno y gabo ila hapa wamenifelisha xaut hakuna
  • @
    @danielinyanza7465منذ 3 سنوات Wabongo bhn mda mwingine mnafeli sana,, part 2 karbia yote mnaongea wenyewe tuwaelew vp ssa 5
  • @
    @safaribahati6883منذ 3 سنوات I really like this movie and I did learn something thank you for the lesson, but the problem was the voice, I taught you guys have to check your microphone, id="hidden1" class="buttons"> you put allot of music than the voice so people they can hear about what you are saying, because is not everyone who knows how to read, but thanks for the move. ....وسعت 2
  • @
    @cornelmassawe856منذ 2 سنوات Mnavo upload movie kwenye YouTube tafadhali jitahidini muekee na sauti vizuriii
    Napenda sana kufuatilia ila sipati ladha yoyote pale ninapo tizama igizo alafu halina sauti.
    1
  • @
    @duniamoise2023منذ 3 سنوات Kazi ni nzuri ila tatizo mnatunyima sauti jamani sio sote tunafaamu kusoma kingereza !! 2
  • @
    @jokhamohammed976منذ 3 سنوات Picha nzuri sauti akuna ndio nini sasa
  • @
    @beatricemartin474منذ 3 سنوات jamani mbona mnaweka soundtrack movie nzima hata hatupati hamu yakuangalia.please fix this problem movie inanoga tukisikia sauti za waigizaji 2
  • @
    @erizabethlichima6218العام الماضي Sijapenda ata mb zangu mumekula bure saut hazisikiki
  • @
    @bicheadamoadamo6327منذ 2 سنوات Gostei do movie, mas não se ouvi nada, logo, perdeu qualidade.
    Diretamente, Mozambique
  • @
    @mwakaathumani4793منذ 3 سنوات Kwani imekuaje miziki hii hatusikii lolote na haya ni mafunzo tuone na tusikie movie nzuri sna
  • @
    @rebeccaposhombili9890منذ 2 سنوات Asante lakini filamu ingekuwa nzuri kama sauti ingesikika yaani hatujuwi munasema nini tunafata filamu ya mabubu 1
  • @
    @albertinemacimu1247منذ 3 سنوات Ila Tausi na usiku wote huo uende nje kweli 1
  • @
    @grouptv2منذ 3 سنوات Mim ni mpenzi wa movie za tz sana ( hogereni sana movie nzuri) maneno ndo tunatakiwa kuyasikia na sio music.mko vizuri. 11
  • @
    @happnessgodfrey6080منذ 3 سنوات mme ambiwa muende kwenye choo chawatu mnajishauatu
  • @
    @graceirene8207منذ 2 سنوات Sasa movie bila sauti tunaelewaje mmeboa sana kwenye saut
  • @
    @warrenfrancisco1958منذ 3 سنوات Yaan wabongo Kila kitu tuko nyuma Hadi sauti tu tunafel sjui tutaendelea lini
  • @
    @kendimutungaمنذ 3 سنوات Jamani mbona movie Haina sauti why????
  • @
    @samsonpeleka3453منذ 3 سنوات Move ya kimbumbamvu kwel et limziki utafikiri you tube NI studio 1
  • @
    @dawoodysuddy1518منذ 3 سنوات Ndio movie taam kabisa ila sounds problem hatuelewi nini kinacho endelea kabisa producer rekebisha vizuri sounds kabisa plz 2
  • @
    @raymusa0015منذ 3 سنوات Movie nzuri sana na funzo ila sauti ulitunyima Kaka 1
  • @
    @mariamissa1528منذ 3 سنوات Hii movie jaman kipindi naiyona Mara ya kwanza ilikuwa na saut
  • @
    @antoniaroman9354منذ 2 سنوات iludieni hii movie ili muikee sauti IPO vzr mno
  • @
    @khadijaomary646منذ 2 سنوات Move ainasaut waongeaji jmn vinanda vya mziki tuu 1
  • @
    @alshakizmwongesh8624منذ 3 سنوات Kwan uku kuna endaje part 1B hakuna sauti hadi mwisho ama 2
  • @
    @annatanzania2690منذ 2 سنوات Sauti Mmetubania SASA hayo mnayoongea yalikua na faida Hata kwetu pia
  • @
    @sarahhassan2857منذ 3 سنوات Nzur ila haieleweki ni sauti na hatujui nn kimemuua
  • @
    @mugamgandila2597منذ 3 سنوات Ndo tatzo la move zetu akuna sauti usikii watu wakiongea 1
  • @
    @prospermbilinyi8161منذ 3 سنوات Toka movie inaanza mpaka inaisha ni music tuu na ndo maana sipendagi movie za kibongo mimi 1
  • @
    @winfridahmbapa2578منذ 2 سنوات Na fungafunga mbna nafas ya ubaba walimpa uwiiiii ye na mzee magar hawatakag ujinga
  • @
    @ukhtyshery8970منذ 3 سنوات Kwani lengo haswaa la huu mziki ni nini eeee
  • @
    @omarymussa4786منذ 3 سنوات Mnafeli wapi wabongo sauti hamna mbona
  • @
    @estherkamene1127منذ 2 سنوات Part 1 iko wapi I mean origin of story