المدة الزمنية 3:51

NIYONZIMA: Sevilla ni zaidi Yetu, Wametufunga 5-4 Ni Wazoefu

بواسطة KidaniStars
57 381 مشاهدة
0
163
تم نشره في 2019/05/23

Subscribes:/c/KidaniStars TIMU ya Sevilla ya Hispania imefanikiwa kutwaa Kombe la #SportPesaChallenge baada ya kuwafunga wenyeji, #SimbaSC mabao 5-4 katika mchezo maalum wa kirafiki Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam usiku wa Mei 23, 2019. Lakini haukuwa ushindi mwepesi, kwani Sevilla waliomaliza nafasi ya sita kwenye La Liga msimu walilazimika kutoka nyuma kwa mabao 3-1 hadi mapumziko ili kushinda 5-4. Nahodha wa klabu, John Raphael Bocco alianza kuifungia Simba SC dakika ya nane kabla ya mshambuliaji mwenzake, Mnyarwanda Meddie Kagere kufunga la pili dakika ya 14. Instagram: https://www.instagram.com/kidanistars Facebook: https://www.instagram.com/kidanistars Twitter: https://twitter.com/kidanistars

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 58
  • @
    @jaladollar7745منذ 5 سنوات This is simbaaaa wanangu komaeni hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo simba ni club kubwa sana na siyo uwongo wachezaji mnauwezo mkubwa tena sana club id="hidden1" class="buttons"> kama sevila mnatoka nao kwa tofauti ya goli 1 ujue nyie mnao cheza nao mna uwezo mkubwa.sasa nawashangaa hawa watu wanao ibeza simba eti simba katia aibu eti dida hajui kudaka nawashangaa sana nataka kuwa uliza mlitaka simba wacheze mpira wa aina gani pale siyo siri ingecheza club nyingine ukiachana na simba ingefungwa magoli pia kitu kingine mnatakiwa mjuwe ule ni mchezo kufunga,kufungwa au dro ni moja ya mchezo na ile ni friend match kwa hiyo kitu ni kimoja watanzania tunatakiwa tuwe wazalendo mfano club ya simba ikitajwa huko Spain inatajwa ni club kutoka Tanzania sasa Mimi na kushangaa mtu povu Lina kujaa maneno mengi yasiyo kuwa na mbele wala nyuma.nimalize nakusema This is simbaaaa. ....وسعت
  • @
    @magynzioka1122منذ 5 سنوات Congratulations simba anae walaum sithani hata ana jua kucheza mpira mliche vizuri zaidi na pia tim kubwa mlikua mnashidana nayo 3
  • @
    @dullybrown3635منذ 5 سنوات kocha si wa kulaumiwa.ww imagine siku inakuja barcelona afu hupewi nafasi ya kucheza utajiskiaje.kocha kafanya kitu kizuri kuonesha upendo.salamba id="hidden2" class="buttons"> sio mchezaji mzuri sana ila nae ana hamu siku moja kucheza na kina banega na wengineo ....وسعت 8
  • @
    @williamnkini6855منذ 5 سنوات simba never give up you can do the best
  • @
    @maigwaomar9852منذ 5 سنوات Kwanza naipongeza timu yangu ya simba sports kwa kuonyesha mpira safi na wakisasa ila kocha katugharimu sana kafanya surb za ovyo ila all in all nawapongeza simba 1
  • @
    @mtelekaramadhani1582منذ 5 سنوات yote kayataka coach Patrick Ausemse kuwapa nafac kila mchezaji acheze 5
  • @
    @ashelyabel3008منذ 5 سنوات Coach huwezi kumulaum ile ilikuwa kumpa nafasi kira mchezaji maana mchezo ulikua km burudani ili kira mmoja aoneshe uwezo wake, 1
  • @
    @hatujuaniimani6483منذ 5 سنوات Ni kweli kabisa mabadiliko tu ndio yametukwamisha hata sare tungetoa
  • @
    @edwinimwakibete2728منذ 5 سنوات msiwasikilize waxhabik wasenge mko vizur simba
  • @
    @evalinmumbo6994منذ 5 سنوات Yote mliyatak mna ingiza midebwedo mna toa watu wazuri 2
  • @
    @hassanmagwe4977منذ 5 سنوات Mnadai mnakikosi kipana iweje mlaumu hesabu ya kocha?
  • @
    @BenMula311منذ 5 سنوات Afazali umewa elewesha sasa hawa wanao mind
  • @
    @yoelikunyaranyara1071منذ 5 سنوات Kiujumla sevila hawatuwezi kwa anayejua kipindicha mabadili hakukuwa na beki line yenye uzoefu badala yake kulikuwa na forward line ,kisha ingekuwa simba id="hidden4" class="buttons"> ina hitaji point 3za muhimu mabadiliko ya kikosi yasinge fanyika Bali tungewaona wazoefu tu wa kimataifa ama club bingwa wenyewe wamekubali si kama walivyo tegemea. ....وسعت 2
  • @
    @gilbertmbwambo2444منذ 5 سنوات kwanza hakuna aliyekuwa anajua simba ingefanya kitu kama kile kwan simba na sevilla ktk mpra wameachana mbali sana
  • @
    @malihassan5910منذ 5 سنوات Hakuna uzoefu ujinga wa kocha sub za kipuuzi
  • @
    @injilikwamataifa6910منذ 5 سنوات Ni mwendo WA KHAMSA.
    KHAMSA UNITED CAMP.. hahahahahhahahahahaahah.. Et mabadiliko kwan walioingia hawakua wachexaj wenu mliosajiri. Rashd juma ana ubovu gan. Mpilpli ana ubovu gan. Ni mwendo WA khamsa
    1
  • @
    @footballprayers132منذ 5 سنوات Ama kwel watanzania tuna mashaka sanaa. kumbe simba walikuwa na tamaa kuwa sevilla ndio wanavyocheza wakiw wanataka k2 vle aaah hebu ache jmn wale wamekuja id="hidden6" class="buttons"> kutalii co kushndana. na km wangeamua watuzalilishe bas twengechana mikataba ya wachezaje wetu wote. temeshnda na TP mazembe 2je 2waweze hao jmn aah ache unafk bax ....وسعت 1
  • @
    @chalesfabian6692منذ 5 سنوات Ila Kam sio kocha kupiga sabu nyingi tulikuwa tunashinda kabisa kwakweli Koch kinibowa
  • @
    @habibrwegoshora9653منذ 5 سنوات MNA kiherehere sana kwnn nyinyi MNA nn ? Labda 5 YANGA ingeshinda kutokana na ukubwa wao simba ni timu ndogo mnabebwa na tff mnajikweza sana kwa wakubwa zenu 2
  • @
    @jaladollar7745منذ 5 سنوات This is simbaaaa wanangu komaeni hayo maneno tu hata kwenye kanga yapo simba ni club kubwa sana na siyo uwongo wachezaji mnauwezo mkubwa tena sana club id="hidden8" class="buttons"> kama sevila mnatoka nao kwa tofauti ya goli 1 ujue nyie mnao cheza nao mna uwezo mkubwa.sasa nawashangaa hawa watu wanao ibeza simba eti simba katia aibu eti dida hajui kudaka nawashangaa sana nataka kuwa uliza mlitaka simba wacheze mpira wa aina gani pale siyo siri ingecheza club nyingine ukiachana na simba ingefungwa magoli pia kitu kingine mnatakiwa mjuwe ule ni mchezo kufunga,kufungwa au dro ni moja ya mchezo na ile ni friend match kwa hiyo kitu ni kimoja watanzania tunatakiwa tuwe wazalendo mfano club ya simba ikitajwa huko Spain inatajwa ni club kutoka Tanzania sasa Mimi na kushangaa mtu povu Lina kujaa maneno mengi yasiyo kuwa na mbele wala nyuma.nimalize nakusema This is simbaaaa. ....وسعت
  • @
    @dullybrown3635منذ 5 سنوات kocha si wa kulaumiwa.ww imagine siku inakuja barcelona afu hupewi nafasi ya kucheza utajiskiaje.kocha kafanya kitu kizuri kuonesha upendo.salamba id="hidden9" class="buttons"> sio mchezaji mzuri sana ila nae ana hamu siku moja kucheza na kina banega na wengineo ....وسعت 8
  • @
    @yoelikunyaranyara1071منذ 5 سنوات Kiujumla sevila hawatuwezi kwa anayejua kipindicha mabadili hakukuwa na beki line yenye uzoefu badala yake kulikuwa na forward line ,kisha ingekuwa simba id="hidden11" class="buttons"> ina hitaji point 3za muhimu mabadiliko ya kikosi yasinge fanyika Bali tungewaona wazoefu tu wa kimataifa ama club bingwa wenyewe wamekubali si kama walivyo tegemea. ....وسعت 2
  • @
    @footballprayers132منذ 5 سنوات Ama kwel watanzania tuna mashaka sanaa. kumbe simba walikuwa na tamaa kuwa sevilla ndio wanavyocheza wakiw wanataka k2 vle aaah hebu ache jmn wale wamekuja id="hidden13" class="buttons"> kutalii co kushndana. na km wangeamua watuzalilishe bas twengechana mikataba ya wachezaje wetu wote. temeshnda na TP mazembe 2je 2waweze hao jmn aah ache unafk bax ....وسعت 1