المدة الزمنية 6:22

Ubatizo wa maji mengi si kitu-Askofu Lugendo

بواسطة Upendo Media
28 508 مشاهدة
0
107
تم نشره في 2017/12/26

Askofu Julias Lugendo wa Kanisa la Anglikana dayosisi ya Mbeya akihubiri kwenye ibada ya kipaimara ambapo zaidi ya wanafunzi 500 wamepata ubarikio, ibada imefanyika kanisa kuu Azania-front Dar es salaam

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 185
  • @
    @mr.petrokhuni9363منذ 3 سنوات kusema kweli masuala ya dini yanategemea umezaliwa dhehebu gani, ni ngumu kuhamisha mlima kwa yale uliyorithishwa na kanisa ulilozaliwa na kukulia. kuna id="hidden2" class="buttons"> mambo ambayo tumeamrishwa tuyafanye kimwili milele 1. ubatizo, 2. siku ya kusanyiko kuu(kusali) 3. amri 10 za mungu, 4.meza ya bwana. tunawacheka mafarisayo lakini hata sisi leo uwe zehebu lolote ngumu kupuuza baazi ya mapokeo hata kama utaambiwa hili ilianzishwa kwa kumtukuza shetani. halafu unakuta mtu anasema ninaamini katika torati na manabii. ....وسعت
  • @
    @deusnzeran4752منذ 3 سنوات Baba askofu usiwadanganye wenzako maandiko yanasema uwe makini na mafundisho yako hii ni hatari sana wanadamu Yesu yupo stand buy anaondoka anaagiza enendeni id="hidden3" class="buttons"> ulimwengu mwote mkahubiri injili kwa kila kiumbe aaminiye na kubatizwa ataokoka asiye amini atahukumiwa usiwadanganye wenzako mtumishi Marko -16 chunga sana ....وسعت
  • @
    @pendothomas4766منذ 6 سنوات mungu anakuona we askofu danganya hao tu wasopenda kuyachunguza maandiko ila jua ck ya hukumu utatoa hesabu ya hayo yote 8
  • @
    @maryjustapeter5430منذ 6 سنوات Mungu anasema usipunguze neno wala kuliongeza, erewa kuwa yesu arubatizwa maji mengi fata neno kama lilivyo 3
  • @
    @fredymbilinyi6323منذ 2 سنوات Askofu nakuheshimu sana,Kama umesoma theolojia historia ya kanisa?
  • @
    @sawanjema254منذ 7 سنوات ktk dunia hii kila mtu ni mjuaji hata kama hajui kitu,binadam ana asili ya kupenda sifa sana 4
  • @
    @sweetestgospelmelodies5723منذ 6 سنوات Ww ni mpaka mafuta wa BWANA nabarikiwa kwa kuwa Bado unamtetea yesu kristo alie kielelezo cha maisha ya utii na kicho kwa Baba yetu wa Mbinguni na Bado id="hidden4" class="buttons"> anasimama kusikia watu wanenayo ikiwa kumtii MUNGU basi utabarikiwa, ikiwa ni kutotii na kufuata maandiko matakatifu maneno yaliovuviwa na wateule wa Bwana Basi damu ya wengi itakua juu yako .nikusihi mtumishi NENO LA MUNGU KAMWE HALINA MAALA PA KUPUNGUZA AU KUONGEZA NA TWAHITAJI SANA ROHO MTAKATIFU KUTUONGOZA KUJUA NA KUELEWA SAUTI YA MUNGU KUPITIA MAANDIKO HAYA .IKIWA TWAMINI YESU NI.MUNGU WA KRISTO WENZANGU BASI YESU ALIBATIZWA KWA MAJI MENGI IKIWA NI SEHEM YA KIELELEZO CHA MAISHA MATAKATIFU MPK PALE ALIPOPAA KWEND MBINGUNI JEE MAANDIKO YANASEMAJE KUHUSU UBATIZO IKIWA KUNA MAALA YANAELEKEZA SANA KUTOJALI KIELELEZO CHA UBATIZO WA MAJI MENGI BASI BWANA NA ASEME LEO ....وسعت 2
  • @
    @wegesaelias9568منذ 2 سنوات Ikiwa ubatizo Wa maji mengi si kitu wewe sio mkristo, wewe ni mpinga kristo.
  • @
    @happymuya8682منذ 3 سنوات Ee Yesu msamehe kwakuwa hajui analosema ubatizo was maji mengi ndiyo sahihi vp ww unapotosha watu
  • @
    @wilfredroberttv7619منذ 4 سنوات Wale wa maji madogo tujuane nipe like hapa 4
  • @
    @dayanadayanakimalo8558منذ 4 سنوات Ahsante kwa sms zenu wapendwa, mmetukana sana. Lkn kumbukeni hukumu sijuu yenu. Be blessed Askofu mjoli wa Mungu
  • @
    @sirpleasurebمنذ 2 سنوات USIMFANYE YESU KUWA MUONGO YOHANA 3:3 UBATIZO WA MAJI MENGI LAZIMA. 1
  • @
    @jeremiahfelcian2919منذ 3 سنوات Mungu akuongoze uisome vzur biblia maana hata hao unao wafundisha sijui hawasomi biblia pia soma vzur biblia uokoe watu hao na roho zao
  • @
    @gadielketto5171منذ 5 سنوات Ukisoma comments hapa chini utagundua mafarisayo bado wapo sana. 1
  • @
    @fredymbilinyi6323منذ 3 سنوات Askofu naomba uninambie kwanini walio batizwa na yohana walibatizwa tena? 1
  • @
    @imaninamahubirichanelimani7601منذ 2 سنوات Wewe vitu vyote hapo ni muhimu na lazima ubatizwe na roho mtakatifu na maji 1
  • @
    @pendothomas4766منذ 6 سنوات huo kuuxu ubatz hapo ndio umepotosh watu 6
  • @
    @mathiasngomango2570منذ 3 سنوات Kama utizo huo unausema ww Yesu alibatizwa ubatizo gani?
  • @
    @freddiegnabry8919منذ 3 سنوات Watu washagilia uongo wacha kuhusisha yesu hapo utachomwa bure tupu kbsa na pia kucheza na roho mtakatifu apo wacha
  • @
    @georgeasalla8542منذ 3 سنوات Ni kweli ubatizo wa maji mengi si kitu kimaandiko,Soma matendo 11;16
  • @
    @theobaldmbunza3289منذ 3 سنوات Iliandikwa aaminiye na kubatizwa ataokoka,kutokuamini ndiyo sababu ya ujue unapaswa kuzamishwa kwa maji mengi na kwa Jina la Yesu Kristo.
  • @
    @MrSoftBrainsمنذ 4 سنوات Askofu Muongo anayetumia hadithi za uzee za uongo
  • @
    @rokoowilfred2318منذ 3 سنوات baadhi ya vyuo vinawaharibu sana wahubiri hasa saiolojia
  • @
    @FH-Mengiمنذ 6 سنوات Hizi gongo jamani, zinamadhara hadi kwenye roho ya mtu. Hukumu yao wa2 kama hili lizee ni kubwa sana. Ninawaombea ili Mungu awape neema wafunguke walijue Neno lake. 2
  • @
    @ezekielmwadomba4675منذ 7 سنوات UBATIZO WA YOHANA NIWA MAJI MENGI,HATA YESU MWENYEWE ALIMFUTA YOHANA MTO YORDANI.ILI ABATIZWE KWA MAJI MENGI,YOHANA AKASEMA MIMI SISTAHIL KUKUBATIZA,BALI id="hidden6" class="buttons"> WEWE UNIBATIZE MIIMI.YESU AKASEMA FANYA HIVYO KWAMAANA IMENIPASA KUTIMIZA HAKI YOTE. ....وسعت 6
  • @
    @reubenbusanji2904منذ 5 سنوات Asilimia 90 ya wakatoliki hawasomi biblia wanasoma mithale ya waumini wakienda kanisani wanaenda mikono mitupu. Walishakabidhi maisha yao kwa papa. Wanahitaji msaada wa Mungu ili wanasuke kwa pope 1
  • @
    @johnbagege8896منذ 3 سنوات Najua unatetea mshahara fundisha ukweli achs kupotosha
  • @
    @ezekielmwadomba4675منذ 7 سنوات YESU KUMFUATA YOHANA KULE MTO JORDAN,ILI AMBATIZE KWAMAJI MENGI,JE! YESU KAMA ALIVYO MUNGU, INA MAANA ALIKUWA HANA AKILI,MPAKA AMFUATE YOHANA AMBATIZE id="hidden8" class="buttons"> KWA MAJI MENGI,ILA WENYE AKILI NI NYINYI MNAO BATIZA VITOTO VICHANGA HATA HAVIJUWI NINI MAANA YA DHAMBI? ....وسعت 11
  • @
    @gadielshedaffa3333منذ 3 سنوات Yesu alileta theologia alileta wokovu.Yesu alisema inabidi kutimiza haki yote.Huwezi kutengua hivyo ndivyo mbingu zilivyopanga.[Aaminiye na kubatizwa ataokoka asiyeamini atahukumiwa!
  • @
    @brysonpatrick6147منذ 4 سنوات Hapa ndo utaona walokole kuwa wanajihessbia haki ngj uone comment zao
  • @
    @calebmrema5658منذ 6 سنوات Ama kweli mpinfa Kristo ameshaanza kufanya kazi ni nini maana ya neno ubatizo? Maana yake ni zamisha hili neno limetokea kwenye neno baptiso la class="buttons"> lazima kanisa liangalie kuitimiza kweli kama Yesu alipoitimiza Yordani mzee soma neno ishi neno mtoto anaaminije na hana akili so mnatengua neno? Yesu angalia kanisa lako uliponye na wanikolai wa leo. ....وسعت 2
  • @
    @rokoowilfred2318منذ 3 سنوات Upotoshaji mtupu ubatizo upo aina zisizopungua 4 kiBIBLIA JE? WAJUA
  • @
    @johnmgejwa9754منذ 7 سنوات Hakuna kitu hapo, tafuteni pesa tu. Maandiko hamuyawezi. Nashangaa sana kuona eti kila mtu anajifanya kuyajua maandiko. Dunia hii ina kazi sana 2
  • @
    @paschalmgika7074منذ 4 سنوات Neno Kipa imara ktk Biblia halipo Kama lipo naomba kitabu na sura namistali
  • @
    @mosesmwaikwila7329منذ 6 سنوات Barikiwa sana baba ukweli mtupu
    maana Maji wala siku havimwokoi MTU ameeeen
  • @
    @nelsonyandilo3797منذ 5 سنوات Maji ni shahidi duniani tu mbinguni huulizwi kiwango Cha maji ya ubatizo 1
  • @
    @kamgomoli3650منذ 4 سنوات Kweli Elimu ya Theologia ni kichaka cha upotofu. Inashangaza Askofu mzima anapindisha maandiko makusudi kwa kigezo cha kukumbatia dhehebu. Kachaguliwa kuchunga kondoo yeye anawapoteza. Siku ya mwisho utajibu 1
  • @
    @fredymbilinyi6323منذ 3 سنوات Tumsame askofu, maana ndo elewa wake upo hivo.lakini angejua neno(batiza)maana yake ni nini.angenyamaza tu.
  • @
    @elishakayagwa9371منذ 4 سنوات Huo ni upumbavu, hayo makanisa hayatawapeleka mbinguni ila utaua wako tu.. Ubatizo wa maji machache ni ushetani, na huo ni upotoshaji.
  • @
    @fredymbilinyi7429منذ 5 سنوات Mbona watu wakiokoka humo kanisani mnawapiga vita acheni unafiki
  • @
    @anthonykimweri3705منذ 3 سنوات Shetani hatawaacha mbatizwe anajua nini kitatokea mkibatizwa mkaage hivyohivyo na makofia yenu
  • @
    @oscarpatrick3820منذ 3 سنوات Shida ya hawa watu wa dini, wanafanya kazi ya Mungu wakitegemea mshahara mwisho wa mwezi.lengo lake kuu hapo ni kulipwa mshahara na sio kuongoza kondoo. 1
  • @
    @nikodemmwahangila3334منذ 3 سنوات Hiyo pete mkono wa kulia ni ya nini askof nifafanulie niyanini hiyo kwangu imekua kelele 1
  • @
    @devisshirima6780منذ 4 سنوات Najiuliza tuu Yesu alibatizwa akiwa mtoto? Na Je Yohane mbatizaji, alibatiza watoto au watu wazima? Kwanini sasa ubatizo wa watoto wadogo na maji madogo? id="hidden13" class="buttons"> Ukiweza kujijibu hayo maswali usijisumbue sana kufikiri !! Kuna mambo ambayo ni utaratibu wa kanisa tuu waliojiwekea, na kuna mambo ambayo ni utaratibu ambao ni maagizo ya neno la Mungu linavyoelekeza !! Pia ninaweza kusema kuna watu wapo chini ya utawala wa sheria na taratibu ambazo ni mila na desturi za watu walizojiwekea ili kuzilinda taratibu zao. Pia kuna watu wapo chini ya utawala wa Mungu ambao wanaongozwa na neno lake na wanaliishi neno. Sasa jitathmini unaishi chini ya sheria za Watu au za Mungu ? ....وسعت
  • @
    @immanuelinvocavith1498منذ 3 سنوات Nimejifunza sana kuhusu Ubatizo, Ubatizo upo wa aina tatu Ubatizo wa Yohana ambao hata yohana mwenyewe hakubatizwa, Christian baptism Kwa maana ya Ubatizo id="hidden14" class="buttons"> wa kikristo na Ubatizo wa roho mtakatifu, wa yohana ulikua wa Toba kumpokea masihi ndo maana unaitwa Ubatizo wa Toba, wa kikristo no mathayo -20 huu no wakuwafanya mataifa yote kuwa wanafunzi imewekwa wazi recruitment to discipleship then ukishawabatiza wafundishe kuyashika yote aliyoamuru kristo Ubatizo hauwi valid Kwa kiasi Cha maji au umri wa Roho mtakatifu anabatiza Yesu mwenyewe wakati wowote mkristo akihitaji tusiendelee kupambana na theologia ya maji wakati dhambi inatutesa Hakuna mahali popote pameandikwa kiasi Cha maji kitampeleka mtu mbinguni Bali kila atendae mapenzi ya baba ....وسعت
  • @
    @mshaurissa5138منذ 4 سنوات Ubatzo cyo kigezo cha kumuona Mungu kwan wengne wanabatzwa kwa maj mengi lkn ndo wazinzi wakubwa
  • @
    @raysongrayson2239منذ 4 سنوات Wew nimuongo, hivi wew imewahikuasoma biblia?
  • @
    @geraldlyimo2859منذ 4 سنوات Acheni kumtafuta Mungu tafuteni maji ya mito ya watu mkijuwa ndo yanapeleka watu mbinguni
  • @
    @amanyisyemkumbwa4437منذ 4 سنوات Acha kuwadaganya watu wa MUNGU soma YOHANA 3-3-6=
  • @
    @BenjaminHenryمنذ 4 سنوات Mbona hujamaliziaaa? Walirudiwa wakabatizwa upya acha kuongea nusunusu
  • @
    @patrickmunishi2277منذ 3 سنوات WATU WA MSHAHARA KONDOO SI KITU KWAO. NINACHO KIONA HAPO MBWA KAYARUDIA MATAPIKO YAKE. ILA IPO SIKU ITAJULIKANA KATI YA MBUZI NA KONDOO
  • @
    @philipomshana5266منذ 6 سنوات Hakuna MTU alifanywa imara kuishi kitakatifu kupitia kipaimara hii no hadithi mfu. Hakuna kipaimaraaa ktk biblia huyuu uongooo askofu unaujasiri kweli kusema uongo. Kudanganya kanisa.
  • @
    @elishakasambo3242منذ 5 سنوات Kabla hujaanza kuhukumu jitathmini sana neno la Mungu huja kwa kusudi ili likomboe fikra za mtu, lakini wengine huwa hawapo tayari kukombolewa haijalishi id="hidden16" class="buttons"> wanamjua Mungu, Hakika tujue ya kuwa habari ya ubatizo wa maji mengi huwapa watu kiburi, masengenyo, kujikweza, lakini maji yanatumiika Kama ishara tu haijarishi yapo kiasi gani, cha msingi tujue siku ya hukumu ataangalia nini, Damu ya Ndo naona yatakasa kabisa ,Lakini yawezekana mtu aikose mbingu kwa ajiri ya maji mengi au machache? Tusiwe wepesi wa kuhukumu ....وسعت
  • @
    @beatricepallangyo2821منذ 7 سنوات Najivunia kuwa mfuasi wa Kristo kupitia MATENGENEZO ya KANISA yaliyofanywa na Mtumishi wa Mungu aliyeamua kujitoa kwa ajili ya Kabisa Dr. Martin Luther id="hidden17" class="buttons"> wa Ujerumani!!!!
    Wokovu Hauuzwi, Ubinadamu Hauuzwi; tunaokolewa kwa NEEMA. Tuache kiburi!!!!!
    ....وسعت
  • @
    @johnbagege8896منذ 3 سنوات Ukipinga ubatizo wa maji wewe. Majakwamoja Ni mpinga kristo
  • @
    @reginaldmapunda6702منذ 4 سنوات Ni kweli baba Askofu kwani Maji mengi ni kiasi gani? Jee ni bahari au ziwa au mto au chemchemi au pipa au ndoo au kikombe au ni kijiko ? Kubwa hapa ni id="hidden18" class="buttons"> ubatizo wenye imani ya kiroho na sio uwingi wa maji yanayotumika katika kubatiza na ikibidi hata bila maji ubatizo unaweza kufanyika inategemea mazingira na hali ya hapo ambapo ubatizo unahitajika na hali ya anayebatizwa. LA sivyo wote ingebidi tuende tukabatizwe MTO Jordani palepale alipobatiziwa Yesu na bado tusingeyakuta maji yaleyale aliuobatiziwa Yesu. Tungeyakuta au yamepungua au kuongezeka kwa uwingi na ubora wake. Ubatizo ni tendon LA imani zaidi na sio L'a kufaninisha kwa sababu kuzaliwa na kubatizwa kwa Yesu hakuwezi kufanananishwa na kuzaliwa na kubatizwa kwetu. Tusikurupuke kukosoa bila kujua kile unachokosoa LA sivyo mniambie maji mengi au kidogo kipimo chake nini? Maji hayana uwingi yana umoja tu. Maji ni maji tu . Na ubatizo ulifanywa na Yohane mbatizaji mbona hamhoji hao wanaotubatiza kama wanafanana na Huyo Yohane mbona hatumwoni yule njiwa kama ilivyokuwa kwa Yesu? Au huu sasa sio ubatizo? Tusione tu kiasi cha maji Bali hata imani za kiroho walizonazo hao wabatizaji na wabatizwa wetu. Uko sahihi Baba askofu. ....وسعت 2
  • @
    @malugumk3163منذ 7 سنوات Hakuna maji mengi wala chachache, maji ni maji tu mtumiaji ndiye anayehitaji kujua matumizi ya maji. Hata maji ya kikombe yanaweza kuwa "mengi" au "machache" kutokana na matumizi yake. 1
  • @
    @sylviawanjala5609منذ 3 سنوات Stop leading God's pple and allow God to minister. Ubatizo wa yohana apo ilimaanisha ubatizo wa toba.acha kuambia watu eti ubatizo kw maji mengi si kitu.u will bear the burden of those pple u r cheating. ....وسعت
  • @
    @user-pw1ix4fl9gمنذ 4 سنوات sasa huu ndio upinga kristo kabisa , kipofu akiongoza kipofu , wote watatumbukia shimoni yani wewe umeamua kua mpinga kristo kabisa ilhali Mungu asema watu wanatizwe kwa maji mengi yanayotembea ya mtoni .
  • @
    @dorcasshirima9065منذ 6 سنوات kuhusu ubatizo niswala mtambuka wakati mkiuliza na kati ya huo wakikombe nakati yawakibakuli kuna swali jengine aminie na kubatzwa ni mtoto au mtu mwenye akili
  • @
    @reginaldmapunda6702منذ 6 سنوات Maji hayana uwingi yawe kwenye bakuli au pipa yawe kwenye mto au bahari kwa maana ya ubatizo. Jambo la msingi na imani yetu ni kubatizwa kwa maji. 2
  • @
    @apostlesizaمنذ 4 سنوات Mathayo - kuna tofauti ya ubatizo wa Yohana na ule aliotuamuru Yesu baada ya kufufuka na wanafunzi wake walibatiza na adi sasa tukibatiza watu wanajanzwa na Roho mtakatifu ila watu wazima wanaoweza amini so hao ni Antichrist ....وسعت
  • @
    @danielmwakalobo9450منذ 5 سنوات Ninyi mnaomtukana Askofu mmeelewa anachoongea nakumaanisha au mmesikia maji mengi tu!? Acheni kuonesha akili ndogo za uelewa kisa imani zenu fake 1
  • @
    @fredrichnjkishindo6354منذ 6 سنوات Nawaona wengi mmekaririshwa na pia MNAMHUKUMU mtumishi wa Mungu kana kwamba ninyi ni watakatifu. someni vizuri hayo maandiko kwanini YESU alienda kubatizwa id="hidden24" class="buttons"> mto sababu ilikuwa ni uwingi wa maji au niswala la kijiografia katika maeneo yale ambayo Yohana mbatizaji alikuwa akihubiri? Na hakuna mahali katika Biblia takatifu palipoandikwa kuwa ukibatizwa maji mengi ni tiketi ya kuurithi ufalme wa MUNGU.MSIHUKUMU MSIJE MKAHUKUMIWA. ....وسعت
  • @
    @hurumakisingaernest1293منذ 2 سنوات Hivi unajua hata umetafisiri tofauti kabisa.kwani aliposema hivyo ..ana maana ya kwamba maji mengi si kitu