المدة الزمنية 5:33

RC MALIMA APOKEA MWENGE TANGA, ATOA UJUMBE HUU KWA WANANCHI

بواسطة Millard Ayo
2 196 مشاهدة
0
7
تم نشره في 2021/05/28

Mkuu wa Mkoa wa Tanga amepokea Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa ndege mkoani hapo ambao utaanza kukimbizwa rasmi Tanzania bara na wilaya ya Tanga ndio inafungua mbio hizo. Aidha Malima amewataka wananchi kutumia fursa hiyo kufanya kazi kwa juhudi na kuwa wabunifu katika maeneo yao hususani utumiaji wa tehama kujiingizia kipato.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1