المدة الزمنية 6:6

JINSI YA KUSTYLE SURUALI YA JEANS YA KUBANA NA KUACHIA // HOW TO STYLE FLARE JEANS

بواسطة Glow Charls
1 002 مشاهدة
0
22
تم نشره في 2021/02/09

Nafurahi kushare video nyingine ya ninyi. JINSI YA KUSTYLE SURUALI YA JEANS YA KUBANA NA KUACHIA // HOW TO STYLE FLARE JEANS Nadhani wengi wenu mtaipenda. Namtumaini mnafurahia Video zangu. Asanteni kwa kuangalia. Iliusikose video zangu SUBSCRIBE hapo chini #flarejeans #flarepants #howtostyle Nifollow katika mitandao mingine Instagram: @glow_ch1 Tik tok: glow_ch Product nilizotumia -------------------------------------------- Labda kuna mtu atataka kujua: Camera ninayotumia : Canon 80D Software ya kueditia video : imovie Taa ninayo tumia : Ring light Kamera ya kufanyia vlog: iphone xs Kwa, sponsorhip, product review, jisikie huru kunitafuta katika barua pepe: g.mtei54@gmail.com Maoni yote katika video zangu ni yangu mwenyewe, bila kujali ikiwa video imefadhiliwa au la. Hivyo basi, bidhaa ambayo nimejaribu ikanifaa mimi inaweza isikufae wewe. Wenu, Gloria

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 28