المدة الزمنية 1:32

Kajiandikishe Sasa Uchaguzi Serikali za Mitaa 2019

بواسطة ZittoKabwe
489 مشاهدة
0
7
تم نشره في 2019/10/12

Je umejiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa? Muda umewadia, tutimize yale tunayoyasema ya kuwa tunataka serikali ya wananchi inayotokana na wananchi. Ni muhimu kujiandikisha - ili uweze kupiga kura

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0