المدة الزمنية 27:15

LIVE: GLOBAL HABARI NOV 01 - MWALIMU MKUU MBARONI KWA WIZI WA MITIHANI

بواسطة Global TV Online
5 371 مشاهدة
0
26
تم نشره في 2021/11/01

🔴#LIVE: GLOBAL HABARI NOV 01 - MWALIMU MKUU MBARONI KWA WIZI WA MITIHANI Jeshi la polisi Mkoa wa Simiyu linamshikilia Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Shimbale iliyoko halmashauri ya Mji wa Bariadi Gaudensia Anyango (45) kwa tuhuma za kufanya udanganyifu katika mtihani wa taifa wa Darasa la Nne. Akizungumza na waandishi wa habari leo Ofisini kwake, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Simiyu ACP Shadrack Masiji, amesema kuwa Mwalimu huyo alikamtwa Oktoba 28, 2021 majira ya 5:30 Asubuhi wakati wanafunzi hao wakifanya mtihani wa Kiswahili na Hisabati. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2