المدة الزمنية 1:31

UPELELEZI KESI YA WEMA WAKAMILIKA

بواسطة Mwananchi Digital
1 039 مشاهدة
0
14
تم نشره في 2019/02/13

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Februari 21, 2019 kumsomea Maelezo ya Awali (PH) msanii wa Filamu nchini, Wema Sepetu. Hatua hiyo inatokana na upelelezi wa shauri hilo kukamilika na hivyo upande wa mashtaka kuiomba mahakama hiyo ipange terehe kwa ajili ya kumsomea mshtakiwa huyo, Maelezo ya awali. #WEMA #SEPETU #KESI

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 2