المدة الزمنية 8:8

Inasikitisha, Salamu za Mwisho Kabla Ya Umauti Kuwapata.

بواسطة YIB
82 649 مشاهدة
0
1.6 K
تم نشره في 2020/07/23

In This Video: Kuna mengi ya kujifunza pale unaposhika simu yako na kuingia mtandaoni.. Iwe ni kupika, kuvaa, kulima, kusoma, kucheza, kuimba na hayo unayoyajua wewe.!, kila kitu unachokikuta kwa namna moja au nyingine humsaidia mtu kwa kumpa ujuzi na kuutumia ujuzi huo kufanya maendeleo katika jamii yake, lakini ndani ya mitandao hiyo kuna mambo machache ambayo lazima itakuwa mara yako ya kwanza kuyaona.!, Enjoy.! INSTAGRAM : https://www.instagram.com/yib_yt/ Twitter: https://twitter.com/Yib_Yt SUBSCRIBE HAPA: /channel/UC7zh-_031V1fMfq-itAzCHg Check out other videos on the Channel: Mtoto Huyu Akilia Anatoa Machozi Ya Almasi (Diamond) .! /watch/owD41jH4YTp44 Jiwe La Ajabu Linaloelea Hewani, Chini Halipo Juu Halipo.! /watch/caGhF6l60l-6h Wanasayans Walikosa Majibu Walipoulizwa Kuhusu Mambo Haya.! /watch/wpj7Xhef4sFf7 Vitu Vya Ajabu Vilivyonaswa Na Camera Za Drones.! /watch/4CZR0UD6tZx6R Wafungwa Waliotumia Akili Nyingi Mpaka Kutoroka Gerezani.! /watch/Ujyi0DmFtZWFi Nchi Yenye Joto Kali Hadi Magari Yanayeyuka Yenyewe..! /watch/gp9ABEzdkZLdA Ukweli Kamili Kuhusu CoronaVirus (COVID-19) /watch/AAvlFU5_ZsD_l Hii Ndiyo Familia Yenye Watoto 6 Wanaotembea Kwa Miguu Minne.! /watch/E178Imr43p-48 Mtoto Huyu Anabadilika Kuwa Jiwe Siku Baada Ya Siku.! /watch/Af7dPifx99nxd Watu Hawa Walimshangaza Kila Mtu Kwa Mambo Waliyoyafanya.! /watch/Uj0Zipn1aUw1Z Kama Matukio Haya Yasingerekodiwa, Hakuna Ambaye Angeamini.! /watch/sD8rieEGKcRGr NINGYO: Nyama Iliyomfanya Binti Aishi Miaka 800.! /watch/ASovffWFxL1Fv Mafuvu 300 Ya Watu Yakutwa Chini Ya Maji, Hakuna Anaejua Nini Kiliwapata.! /watch/4WzGAefe1-9eG KIjana Anaedai Ametokea Mwaka 2075 Atabili Vita Ya 3 Ya Dunia Mwaka 2020.! /watch/EMGjnT3SP77Sj Watu Hawa Walibadili Muonekano Wa Sura Zao Na Hiki Ndicho KIlichowapata.! /watch/ojEiLSljspdji Hata BAUNSA Wa Kiasi Gani, Kwa SHAOLIN MASTER Lazima Akae Chini.! Na Hii Ndiyo Sababu. /watch/cfH9Gw0s1fzs9 Sehemu Yennye Nguvu za AJABU, Hata Ufanyeje Hauwezi Kuanguka.! /watch/0BxSVen5gLK5S Makumbusho Yaiyojaa Miili Ya Binadamu Isiyooza.! /watch/oar_yI9a2Ssa_ Viumbe Wenye Uwezo Wa Kuishi Baada Ya Kufa.! /watch/Uba3csqNz0HN3 Kisa Cha Medusa.! Dada Aliekatwa Kichwa Kwa Kosa La Kubakwa.! /watch/QabeIvrai23ae Ugonjwa Wa Ajabu Uliofanya Watu Kuanguka Barabarani Na Kuchapa Usingizi.! /watch/8lJPWWm02MG0P Watu 6 Wenye Sifa Za Kipekee Duniani ! /watch/oMmH8NbGPf7GH Ukikutwa Maeneo Haya, Kifo Kinakuhusu.! /watch/s61=t&MInwxK89n6N9= Inasikitisha, Afariki Siku Moja Kabla Ya Harusi Yake.! /watch/A2vDlkr5l8u5D Area 51 Sehemu Inayolindwa Kwa Siri Nzito Kuhusu Aliens.! /watch/YtU_-wMQGCrQ_ BERMUDA Triangle, Kisiwa Chaajabu Kinachomeza Watu.! /watch/0aLTnb0Z5ENZT Machozi Yatakutoka Ukisikiiza Stori Za Kusikitisha Katika Video Hii.! /watch/8gg-WZ0gUtrg- Hivi Ndivyo ugonjwa Wa Ukimwi Ulivyoenea Duniani.! /watch/8p3TqZ-6Arm6T Ukikutana Na Viumbe Hawa Kimbia Haraka Uokoe Maisha Yako! /watch/0h4o9X4dzz4do Tukio Lililofanya Watu wengi Wapoteze Maisha.! /watch/gMTfGTcjWTEjf Maajabu Ya Msitu Wa Amazon Na Yaliyomo Ndani Yake ! /watch/No-MbpMI99MM BG Music: willow-and-the-light-by-kevin-macleod is licensed under a Creative Commons Attribution licence (https://creativecommons.org/licenses/by/4.0/) BG Music: Magic Forest Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Lost Time Kevin MacLeod (incompetech.com) Licensed under Creative Commons: By Attribution 3.0 License http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/ Narrated by: Darhood Written by: Dijjah Edited & Produced by: Camarah #YIB #YourInformationBook #MatukioYaKusisimua Cthulu .

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 80
  • @
    @swahiliboyswb5666منذ 4 سنوات Never under Never over,Always on the level YiB . 3
  • @
    @mrnelly667منذ 4 سنوات Nice voice una saut nzur inaniweka active kuskia taarifa zako
  • @
    @ibrayomapenzi1743منذ 4 سنوات Kwanini jamanii hamumzidishiii like YIB daagh wanajitahidii sanaa 1
  • @
    @sanurameow4500منذ 4 سنوات Nina machozi ya karibu mm twiga na farasi wameniliza jmn❤️ 2
  • @
    @collinsogema3611منذ 4 سنوات Napenda yib doccumetaries thump up guy 4
  • @
    @mrfix6596منذ 4 سنوات Machozi yangu cjajua km yamekauka au vipi, sijatoka machozi. Bando zangu 6
  • @
    @mdautv5282منذ 4 سنوات Sijatoka machoz bando langu niludishien
  • @
    @emmanuelmsafi9581منذ 4 سنوات Jaman zote zinauzunishaaa ila twigaaa mmmmhhh
  • @
    @augustinomauki4338منذ 4 سنوات Daaah.mim nlishafanyiwagwa operexhn nkaondolewa mxhipa wa machoz so mim kiukwel cjalala.vp bando lang 1
  • @
    @troptv8241منذ 4 سنوات Oyy mcheki basi Trop tv simuliIzi kalikamaizi 1
  • @
    @mageuzibarack3179منذ 4 سنوات Channel ya yib mnapoteza miaka 900 ya Bahati mnapochelewa kutuletea matukio ya kutisha. Enjoy.
  • @
    @sleyummoo7795منذ 4 سنوات Mzee sijalia nataka bando langu usinifanyie ujinha 2
  • @
    @ynlonesmo5122منذ 4 سنوات Wabongo hahaahah wala hamna mweny chothiii rudisha tu vi MB ata kam tuliwashiwa Wi-Fi
  • @
    @cheiknamouna2058منذ 4 سنوات Nalipataje bando langu maana wameanza wao kulia
  • @
    @aslamshakur255منذ 4 سنوات Hakujua hakujua.hahahahahahaha napendasana kusikia hivyo 1
  • @
    @omarally3852منذ 4 سنوات Unaelezea vizuri sana matukio hasa ya majini na mizimu zilizorekodiwa na kamera,hautuletei tena video hizi, kwanini? 1
  • @
    @lephyspemba3400منذ 4 سنوات Sijatoa machoz nilidushie bando 0620359665 nione kama kwel