المدة الزمنية 15:51

VITA Diamond na Harmonize Yafika Pabaya IssaAzam Afichua Diamond kuumizwa na Harmonize Amtia Hasara

بواسطة BINGO ONLINE TZ
60 508 مشاهدة
0
938
تم نشره في 2021/01/04

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 476
  • @
    @bingoonlinetzمنذ 3 سنوات Kama umeipenda ile saa pale juuu video hii imedhaminiwa na mtandao wa kuuza saa wa daresalaamshop
    Ukihitaji saa ile bonyeza link hii kuorder id="hidden1" class="buttons">


    Au bonyeza link kwenda moja
    ....وسعت 5
  • @
    @michaelramadhan9466منذ 3 سنوات ULISHAWAHI KUWA NA TATIZO LA UDHAIFU WAKATI WA TENDO LA NDOA?
    Unalijua zao linaloitwa Maca
    Kikawaida, unapokua mkubwa, Glands id="hidden2" class="buttons"> za Endocrine huwa zinapunguza ufanyaji kazi wake pia kutokana na vyakula tunavyokula na kusababisha mwili kutozalisha hormones kwa kasi. Ambayo badae hupelekea mwili kuchoka na kukosa nguvu ya asili na stamina.
    Hii huleta madhara mengi kama:
    1. Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
    2. Kupata Stress Ovyo.
    3. Kuchoka haraka wakati wa tendo.
    Na mengine mengi.
    4.Uume kusinyaa na kuwa mdogo mno, hata ukiwa ndani ya mwanamke
    5.Kuvuja sperms (sperm leakage)
    UKITUMIA ZAO LA MACA
    Ambalo ni mmea uliogundulika tangia miaka 2000 iliyopita uko PERU, na mizizi yake ilikua ikitumika kama Chakula cha wanajeshi wa INCAN kabla ya kwenda Vitani, ili kuwapa nguvu na stamina. Maca imekua maarufu kwa jina la "Sex Herbs Of The Incan"
    Forever Living Products, iliichukua Peruvian Maca na kuchanganya na Mimea tofauti ya asili ili kutengeneza Virutubisho vya "Multi Maca"
    Ambayo ukitumia itakusaidia:
    1. Kuongeza Libido. (Hamu ya Tendo la Ndoa)
    2. Kubalance Hormones Kwenye Mwili,
    3. Changamoto ya Menopause.
    4. Kukuza Mishipa.
    5. Kuleta kumbukumbu na kazi ya ubongo.
    6. Kuleta Stamina na Nguvu za Kiume.
    7. Kurutubisha (sperms) & ovaries
    8.Improves your mood
    Hivyo Ukianza kutumia Forever Multi Maca, Pamoja na ForeverArgi+ itakusaidia kuondokana na changamoto hiyo, na kukupa faida nyingi sana nyingine.
    .
    .
    WHATSAPP ☎+255629395655
    ....وسعت
  • @
    @nemesdavid6699منذ 3 سنوات Point gani hapo yan watu kama hawa awatakagi maendeleo ya mtu. Shida sio zarau shida nikwamba harmonize katoka wasafi anapambana na ishu nikwamba mafanikio id="hidden3" class="buttons"> anayo yapata WCB mnaanza kupiga vita asisikike na kutaka kumwalibia sasa kama wewe utafanya nini kwa mfano mtamloga kijana acha usenge baada ya kuangalia mambo yako unaangaika.ndio mziki huo upinzani bro umesha ingia afu usiseme ngoma ya baba levo wakati inamlenga harmonize lakini ifike atua ujielewe we jamaa unaponda ulitaka harmonize asifanye vizuri.harmonize atawasumbua sana ....وسعت
  • @
    @Heisdave385منذ 3 سنوات hahahhhahaha nimecheka sana uyu jamaa issa kajua kunifurahisha kweli 10
  • @
    @naimanimo4925منذ 3 سنوات Yes it Diamond has a big heart for sure that's ture he feels for everyone 3
  • @
    @nasseradel9784منذ 3 سنوات Mungu mnyanyue harmonize azidi kufanya vizuri 20
  • @
    @boscomtani1006منذ 3 سنوات Kuongea kwenye media kunataka busara. Jua unaongea wapi, kwa ajili ya nani na jitambue (Imani yako). Binaadamu asiyetaka msamaha ni sawa na wakala wa yule id="hidden4" class="buttons"> Mwovu). Anamshukuru Mungu yupi kwa kusema kama unatamani ndugu wasisameheane na kupatana. Fanya kazi yako, tafuta chako ili usiwe mtumwa hata wa kufikiri. ....وسعت 2
  • @
    @philipomasumbuko5730منذ 3 سنوات Diamond nampenda Sana kaitangaza nchi yetu ya Tanzania kimziki big up 18
  • @
    @kennydollar5328منذ 3 سنوات chawa original( kibaguzi sana kimshikaji )africa unity 1
  • @
    @hadijasaidi7709منذ 3 سنوات Anajua yeye kweli ila kesho kwa Allah ndo atajua yeye huko kwenye maisha ya milele mzazi ni mzazi tu mzazi hakosei kwa mtoto sikio halizidi kichwa hata iweje 1
  • @
    @platnumzsule1276منذ 3 سنوات Mmakonde au wamakonde wanajisahau sana bc 11
  • @
    @WaridawaridaWaridaمنذ 3 سنوات Tena fara wewe nimekuchukia ndiyo maana wimbo wapo ujumbe wenu kabisa 9
  • @
    @deogratiusonesmo824منذ 3 سنوات hapo hakna bifu bali ninamna ya kuishi ili maisha ya zidi kwenda 11
  • @
    @aksinosingano8054منذ 3 سنوات Anakupumulia nn, maana unamsemea mtu ambaye hata yeye hajawai kusema kweli Simba kiboko unawapumulia wengi sn me sijaona point ni nn hasa kuhojiwa,.. Big up Simba 3
  • @
    @bigirimanaamida5158منذ 3 سنوات Ukweli mtupu ongea kak limewachoma wasiompenda Mond binadam tunawajua ata sisi watu wakawaida yalishatukuta kama umejaliwa moya wakutoa na upendo wakusaidia id="hidden7" class="buttons"> na mungu hua anakubariki japokua binadam hua awaoni mema yewenzio ndo walivyo watu wa aina iyo wasio ona mazur yewenzio wakiwatendea ....وسعت 7
  • @
    @nassibuchota6744منذ 3 سنوات Kweli snchi uwaga ana onekana Kwa unafki
  • @
    @nyakymedia8405منذ 3 سنوات Anaongea fact Sana ila machoko na msio fikir mnaxhojua ni matus tuh. Masochoko wa bongo bhn duh. 6
  • @
    @shantowempireمنذ 3 سنوات WCB kila xiku harmonize,,,,inawaumaaaaa Hahahahahahahahahahhahaha,,, jeshiiiiiiiiiiiiiiiiiii utahuaaaaaa 3
  • @
    @tiv_tvمنذ 3 سنوات HIVI UNAJUA Kuwa mwaka 2017.. wanawake nchini marekani waliandamana wakiwa vifua wazi wakidai haki ya kutembea barabarani wakiwa hivyo kama ilivyo kwa id="hidden8" class="buttons"> wanaume!??
    (Shuhudia ktk channel hii, tunaomba support yako kwetu ya ku,subscribe Tafadhali ni OMBI!)



    HII NI CHANNEL YA simulizi maridhawa za matukio na visa mbalimbali. Pamoja na Lyrics zenye lugha zaidi ya mbili,
    JE!?
    UNAJUA ukweli kuhusu sikukuu ya krismas
    Je Yesu alizaliwa tarehe 25Dec.‍♂️‍♂️
    Ama umewahi kujua Kuwa "MKE WA KWANZA WA ADAM NI LILITH NA SIO EVA/HAWA??"
    https://youtu.be/BuVXK76ZyZ4
    NYIMBO ZA KIHINDI NA KIZUNGU ZENYE LYRICS ZA KISWAHILI
    SEE YOU AGAIN - https://youtu.be/aA_ohmVc3RU
    KUCH - https://youtu.be/qNr98F1y2GQ
    MICHAEL JACKSON THRILLER - https://youtu.be/KnBtBa0tPU0
    ....وسعت 2
  • @
    @zaharaabdallah4765منذ 3 سنوات acha kuponda mwenzako
    Diamond hana maneno
    3
  • @
    @jacquesmmassa5589منذ 3 سنوات Wanao mtukana uyo jamaa wote amna akili mbona anaongea point sana 3
  • @
    @bazazzykid2650منذ 3 سنوات Acha undez ww fala kwel unaakili sili ya ofis unatoa pablic ?
  • @
    @dorcaskahindi5232منذ 3 سنوات aliwalipa mbona hamumsimangi mavoko ah mumuwache 1
  • @
    @nahyialetomia9284منذ 3 سنوات Wakimbizi wana haki chini ya United Nations commission on Human Rights ambapo wapo kwenye huo Commission
  • @
    @highthemetv7857منذ 3 سنوات

    Kama ni muoga usifungue tazama wanawake wanavyotobolewa viungo vyao bila huruma gusa link
    2
  • @
    @lizzjahsolja1240منذ 3 سنوات ati Harmo katutia hasara hela yetu haijarudi mpaka leo 3
  • @
    @augustinoadriano4150منذ 3 سنوات ww unaonge uchoko ww mbona broo wangu kakutoa leo unajiona ww machinoo uo ufala mtu kumsaidia mtu kitu sio mpaka shukrani uwo ushamba rudi muombe broo wangu shukrani kama unataka ivyo
  • @
    @richgangtmk8705منذ 3 سنوات Huyu anaongea ushuzi tu
    Hapa south hakuna piki ya dola laki moja.
    2
  • @
    @abdulamorzinho.9885منذ 3 سنوات Happy for harmonize. Kama kawatikiza chawa nampongeza.. kawaida wasanii beefu. That's how the game rolls. Man up!!!
  • @
    @mary5162منذ 3 سنوات Maisha ni ya mungu siyo yabinadamu pore saaana weww unategemeya binadamu mwenzako
  • @
    @nasoroathumani7094منذ 3 سنوات Aaah kila siku harmonize kwa nni? Jamaa yupo kila siku yeye tu
  • @
    @chusseboywcb2808منذ 3 سنوات Anazarau sanaa hamo yeye kweli ndio kaanzisha bifu 9
  • @
    @adoniusalfred4997منذ 3 سنوات Chibu dangote mnyama.mwenyez mungu amuweke sanaaaa
  • @
    @richardmnkande1130منذ 3 سنوات Vijana wadogo wakiume wanaacha kupambana na Maisha wanaishia kubwabwaja na kuingia kwenye magomvi ya watu. Kizazi Cha namna hii kipeni miaka 10 ijayo id="hidden11" class="buttons"> kitaishia kuwa omba tuuuuu. Thamani ya Harmonize kijana mdogo asiye na Aibu Wala hulka ya kujihusisha na maisha take kamwe kuifikia itakuwa ndoto. ....وسعت
  • @
    @tixboymusiciantzمنذ 3 سنوات Acha interview na wapuuz haelewi anacho kisema
  • @
    @nunuuali5316منذ 3 سنوات Mziki mgum sana aiseeeee maana kutoboa kazi huku wanga, huku maadui,huku wapambe,huku umbea,huku chawa, jaman bora nijifunze baisikeli. Pole sana Diamond, pole sana Konde, pole sana Ali, wanaowazunguuka ndo wabaya.
  • @
    @mohamedathumani623منذ 3 سنوات Kama baba na mama ni nguzo ya dunia wapende wote sio wakike anacheka wakiume analialia bila msada wowote 1
  • @
    @hamisimlapwa9881منذ 3 سنوات Njaa mbaya Sana watu wanashindwa kufanya shughul zao kazi kujipendekeza ungejua kunyoosha maneno ungekuaje tafuta pesa bro hayo maisha sio ufanani na konde hats robo
  • @
    @raymondomondi8508منذ 3 سنوات Who the hell is this harmonize amekushinda by far 1
  • @
    @anthonymushi1369منذ 3 سنوات Nani mwenyewe shukrani kwani daimond ana anashukran akamtendea wema alicho mtendea au ndo ile nyani aoni. 2
  • @
    @josephkalamazoo7979منذ 3 سنوات Weee ooliskia wapi wakwetu kabisaa braaza
  • @
    @ikeedaudiمنذ 3 سنوات Nilidhani ni mtu wa kawaidaa ovias penye wakulia laazima usifu ndo uendelee kunyonyaaa pipe go ahead 1
  • @
    @teggertegger3669منذ 3 سنوات Dah mshkaji unakigugumizi au? Mmh we sijui nikuweke wapi manaake ungekua unaongea sawa ingekuaje nyie ndo wale mnalipwa mupatie credit jesh for live 10
  • @
    @godfreykalist7115منذ 3 سنوات Wa2 wanavimbian mpak wanaxhindw kujitambua kweny hii dunia wao ni kina nani. Eeh mungu 2naomb u2kumbuxh 1
  • @
    @lulualfa879منذ 3 سنوات Kwani ni nani huyu mshkaji,anaongea Kama Hana akili nzuri yaani 1
  • @
    @samwelipetro384منذ 3 سنوات Hahahhaah kumbe mnatoaga pesa vitu viende haya bhana.
  • @
    @allylameck2940منذ 3 سنوات Nani kaona lijama wanafania na harmonize
  • @
    @bakarialykitemwe9232منذ 3 سنوات Kama una amini huyu mwamba kadata gonga lake tujuane team konde 9
  • @
    @feswalontita6404منذ 3 سنوات ww una nn basi wachukua mda mrefu kuongea upuzi
  • @
    @mizolion923منذ 3 سنوات Jamaa kafanana na konde boy kwa mbali nan kaona kama mm gonga Like
  • @
    @ayushjhay1979منذ 3 سنوات Hyu kaka ameongea ukweli ila hapo kwa baba mond astaili amsaidieb babake atakama akukulea umelelewa na mama.msaidie mond baba wllah njia zako zitazidi kufunguka na . 1
  • @
    @AhmedSalah-ri3esمنذ 3 سنوات Hichi kichawa kidogo kinafirwa Itakua eti aiyola haikuenda acha kujiingiza kwenye vita vya wasanii ww unaongea kma nani 1
  • @
    @jeffkibonge8193منذ 3 سنوات Bwana ndogo apo unadanganya, mziki wake ume wiki sana 4