المدة الزمنية 1900

MSAFARA WA MGOMBEA URAIS NCCR-Mageuzi KUELEKEA OFISI ZA TUME YA UCHAGUZI DODOMA BALAA

103 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2020/08/12

Siku ya Jumanne Agosti 11, 2020, ilikuwa maalum kwa mgombea Urais wa Chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja kuchukua fomu ya Urais kwenye Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mjini Dodoma. Msafara wa magari na pikipiki ndio uliokuwa gumzo kwa mgombea huyo ambapo wananchi na wanachama wengi wa NCCR-Mageuzi walijitokeza kumsindikiza mgombea kutoka kila kona ya Tanzania.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1