المدة الزمنية 7:8

UBUNGE ARUSHA: MRISHO GAMBO ACHUKUA FOMU, KUTEULIWA NI KITU KINGINE l AKUTANA NA USHINDANI MKALI..

بواسطة Global TV Online
44 093 مشاهدة
0
134
تم نشره في 2020/07/14

UBUNGE ARUSHA: MRISHO GAMBO ACHUKUA FOMU, "KUTEULIWA NI KITU KINGINE" l AKUTANA NA USHINDANI MKALI.. Baada ya kufunguliwa kwa mchakato wa kuchukua fomu kwa nafasi ya ubunge wagombea wameanza kujitokeza katika ofisi za wilaya Zilizopo Arusha na kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hiko kuwapitisha kama wagombea wa ubunge. Vigogo mbali mbali wamejitokeza kuwania nafasi hiyo akiwemo aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 77
  • @
    @habibamhina90754 years ago Mungu akunyooshee mapito yako,mrisho gambo 🙏 3
  • @
    @babylonyNgwembe4 years ago Gambo ndo mtu sahihi kabisa kwa Arusha bcz nmeishi arusha yangu 2014 mkoa ulikuwa na fujo sana lakin gambo aliweza kuutuliza mkoa na kuubadili uelekeo wa mkoa wa ARUSHA na kuonekana mkoa wa kistaraabu na wakitalii zaidi so Lema kwa Gambo hatoboi lakin wasipo mpa Gambo kuipeperusha Arusha mjini basi jimbo litabaki upinzani bcz siasa za ARUSHA nazifahamu sana kwa MAANA wanachagua mtu na siyo chama. ... 1
  • @
    @andrewyona25524 years ago Gambo ana dharau sana, hafai kuwa mbunge 2
  • @
    @orgeneslema94644 years ago Hivi kweli tusemezane. Kugonbea nafasi ya ubunge kwa sababu ya ufanisi wa mtu mwingine ni kigezo? Wanasiasa mnatuona kuwa wananchi hatuna akili au? 4
  • @
    @gemkachar4 years ago Mrisho Gambo ana kiburi sana. Hana sifa ya uongozi. 4
  • @
    @johanesjohn84714 years ago Kwa mtazamo wangu Gambo ndio mtu sahihi wa kumchallenge Lema 4
  • @
    @elfacechongera66484 years ago Nami nakukubari mrisho Gambo.kilalaheri. 1
  • @
    @ambrosdavid44844 years ago Wajina anagombea. Utamweza lema kaka na miwan hiyo ,? Mwachie mungu kama ulivyosema
  • @
    @mercyvitalis55544 years ago Cna cha kusema nilivyofurahi Mh. Mrisho Gambo hakika umepita baba mwanangu yuko shule ulioisimamia Mrisho Gambo Secondry Mungu amesikia maombi yangu Rais wetu anaongozwa na Mungu muumba vyote naona hat sms nashndw 2
  • @
    @petermwacha99094 years ago Gambo chama hakiruhusu mtia nia kuzungumza chochote cha kujikampenia wakati wa kuchukua fomu. Umechemsha hapo 3
  • @
    @kakorejrboyz64474 years ago HV wewe Gambo unafanya wananchi hawana akili juz tu umepigwa chini ulichofanya umefichiwa Sasa unataka kulaghai wananchi? Hakuna na hupati kabisa 1
  • @
    @zakiamsafiri123zakiamsafir74 years ago Tomas munisi unapita kwa kula za maoni 2
  • @
    @godfreylyimo41774 years ago Mrisho umepoteza nafasi adhimu sn ambayo bado ulikuwa na fursa ya kuendelea nayo..Raia amerekodiwa mara kadhaa akionya wenye tamaa na nini watafanya
  • @
    @abdalahfarida20744 years ago Gambo kushinda ubunge wa jimbo la Arusha ni ndoto za alinacha. Umeacha wafanya biashara wa sekta ya utalii wanalipishwa kodi kipindi cha COVID19 unategemea upigiwe kura za ndio. Utalii ndio unalisha Arusha unawatelekeza wanalipishwa kodi na TRA na hakuna kazi wamefanya. ...
  • @
    @ramadhanikibiga76614 years ago mrisho gambo una faa kua kiongoz kwa ekima nabusala ulio kuwanayo 2
  • @
    @abasadmtopa62464 years ago We mtoto wa kariakoo c ungegombea kariakoo? Umetumbuliwa hujakoma tu? 2
  • @
    @mohammedabdallah63904 years ago Huyo mwenye miwani jinsia gani maana sijamsoma bado 2
  • @
    @mohammedabdallah63904 years ago Kwani jamani fomu shiling ngp namie nijitose tu siwezi kuwa ndgu mtazamaji na msikilizaji tu kila baada ya miaka 5 2
  • @
    @mohamedwarsame30734 years ago Ama CCM.HUYU SIAMEFUKUZWA NA MAGUFULI. 2
  • @
    @profwangwande59784 years ago Umefanya vyema kumkimbia zungu usinge muweza
  • @
    @munaahmed84994 years ago Hiyo arusha mjin ipoje jmn mm sijui arusha je ipoje? Maan hiyo arusha mjin inagombewa na wengi kweli heeeee🤔🤔🤔🤔 mbon huyo kaka kapaka wanja na nywele pia kaek dawa? Vp tena mkimpa kura si atawapa mashoga??
  • @
    @stevenmsaaada.msaada.3894 years ago Lile shoga walitoe haraka hilo lenye wanja ilo. 1
  • @
    @mohamedwarsame30734 years ago Gambo.hakuogopa kauli ya rais.anagombea.sio yule mkuu wa mkoa mbeya na mkuu wa wilaya HAI.KKKKKK 1
  • @
    @lawrencemartin71164 years ago Mnapoteza hela zenu bure arusha tayr tunaye lema anatutosha 1