المدة الزمنية 7:24

AIC DAR ES SALAAM CHOIR-HOSSIANA/HOSSANA (Official Video)

190 734 مشاهدة
0
766
تم نشره في 2019/12/24

AIC DAR ES SALAAM CHOIR Tunakukarbisha kutazama Video ya Hossiana/Hossana. Hakika ni Wimbo wa kumshukuru Mungu kwa Upendo wake wa ajabu kwa kutuptia mkombozi wa ulimwengu Yesu Kristo. #Hossiana/Hossana #mkomboziwaUlimwengu-YesuKristo

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 185
  • @
    @user-jb3zp9uo7oقبل 4 أشهر Ooooh my God!!!!!.This is One of the best Gospel hits!! 1
  • @
    @ivymoraa783منذ 2 سنوات I just can't stop listening to you people.u guys really touched my heart.blessings 4
  • @
    @turahzakayo4882منذ 4 سنوات Jaman wekaka umeimba kwa ndani umegusa mioyo ya watu barikiwa zaidi muombe MUNGU akupe hekima ya unyenyekevu uimbe zaidi ya hapo barikiweni mnooooo 15
  • @
    @bonfacemukaye7811منذ 2 سنوات The arrangement of the song, the instruments, backup and then the lead vocalist just on another level 2
  • @
    @agnesngollo3718منذ 4 سنوات Mmefanya maajabu ya mwaka mbarikiwe wasukuma wenzangu 2
  • @
    @shadymoses5813منذ 4 سنوات Bila shaka Mungu amesikiliza sifa zake. Wimbo huu kila kitu kipo on point jamani, Analysis yake ipo hivi.
    1.Introduction ya Piano, is great.that id="hidden1" class="buttons"> sound of do ti la so fa mi re do on soul touching key, imekaa njema sana.
    2. Arrangements ya melody ya wimbo, na mpangilio wa sauti alto, soprano, teno, na bass zote wamepatia na zinasikika kila moja kweny freq yake.
    3. The Solo Guy is wow, amepewa mahali pa kuingilia sauti pazuri sana, pianist amempa kila kitu yaani..jamaa anajua kupanda na wimbo, section kwa section, mpaka anaenda kuhit highest note akiwa na pumzi vizur kabisa, ana express vizur anachoimba In short he is a true worshipper.
    4. Bass team, wameimba safi sana.kuna sehemu walitakiwa kubackup kwa bass, aaa ukisikiliza kwa earphones utaona walivyojaza, vocal punch yao hatari asee ukiwatazama unaweza usifikirie. super amaizing.
    5. Pianist anayelead amekaa mbele upande wamekaa wawili ni fundi. Amevunja intro, anajua kuchomekea viladha fulani hatari sana, na ndo ameupa utamu huu wimbo, piano yake inagusa nafsi ya msikilizaji kabisa, anagusa jazz, blues na kuna sehem alienda pentanoic scales. Wenzake wawili nao walihakikisha wanamshikia Chords vizuri, ofcoz they did it
    6. Drumist.daaa nafikiri kila msikilizaji wa huu wimbo amejionea mwenyewe wewe ni pro sahani zimelia, kick zimesikika. Usikivu wa drum ulikuwa wa juu kabisa.
    Mwisho kweli Aic Magomeni mlijipanga, Hongereni.keep doing it
    ....وسعت 3
  • @
    @bilhakamau4663منذ 3 سنوات I just saw this song on tik tok.i rushed here..real worship.much love kenya 1
  • @
    @dorahgideon7362منذ 2 سنوات HAKIKA NINAYO SABABU YA KUMSIFU BWANA YESU.HOSSIANA MY FAVOURITE OF ALL TIME TOKA NIUJUE 2
  • @
    @winmoi2019منذ 4 سنوات From +254 Every time I listen to this song I find myself so broken, tears of worship in my cheeks,This song breaks me into pieces for Christ,It got healing,I love lord I love Tanzania 6
  • @
    @geofreymhina3472منذ 3 سنوات Huu wimbo hauchoshi kusikiliza mtunzi Mungu ampe maono zaidi Yuko vizuri
  • @
    @gabrielkitetu891منذ 3 سنوات This song has just ministered to me.. Real worship.. Be blessed 5
  • @
    @bundalasosovele2916منذ 4 سنوات This song will forever mean so much to me and my family. 8
  • @
    @dorrypol9911قبل 3 أشهر Julius Mwombeki . Mungu azidi kukuinua kaka katika utumishi wakoooo❤
  • @
    @mwanjokaully4904منذ 4 سنوات This song nmeitafuta mDA mrefu. Sikujua ni kina nan wameimba. I love the melody, vocal arrangement, sound, the energy and leader. Musician. And everything is super! Bless you people ❤ 2
  • @
    @marthajohn-gx3cqالعام الماضي Sichoki kuusikiliza huu wimbo unanigusa sana mwalimu hongera sana kwa utunzi
  • @
    @maureenwanjiku4129العام الماضي I just love this choir may God continue uplifting you 1
  • @
    @paschalmasanilo2617منذ 4 سنوات Everyday I feel blessed with this song 4
  • @
    @priscaponella8197منذ 2 سنوات Mbarikiwe sana na Mungu mnayemuabudu na kumsifu katika roho na kweli. Mungu akubariki sana sololist wewe ndiye uliyefanya niutafute wimbo huu, l
  • @
    @lameckmboje3181العام الماضي This song should never be restricted to be downloaded please
  • @
    @evekiswii3780منذ 2 سنوات Wooooow.what a song, what a worship! 2
  • @
    @margaretnjeka4695منذ 4 سنوات Great team. Wow wow. You are going distances. Live for God and you will see. That soloist umegusa mioyo ya wengi. Machozi yamenitoka. Ahimidiwe Mungu wangu. Baba nitakupenda daima. 1
  • @
    @peetahluzwilo6560منذ 4 سنوات Hallelujah this song is pure angelic, the power behind the song penetrates down to the core of my inner most being.for this song am saying Thank You id="hidden5" class="buttons"> Jesus For AIC DSM, Lord I pray that they all live long for your Glory. ....وسعت 2
  • @
    @user-rg7ki5bz4hقبل 5 أشهر Wimbo mzuri sana tunaomba muweke kwenye downloads
  • @
    @hillarytheworshipperمنذ 4 سنوات This brother is deep.
    I love it
    5
  • @
    @dorcaskhamaya9497منذ 3 سنوات Aki this song is powerful,the last worship I was in tears the heavenly sound brings me closer to God. God bless sana 1
  • @
    @gracematifali5207منذ 2 سنوات Wimbo huu kwangu nikiusika unanipa amani. Sana mungu awabriki
  • @
    @happyallan508منذ 2 سنوات Am blessed with this worship
    Glroy to God
    Hossana
    1
  • @
    @Audifacyben-lk7riقبل 7 أشهر Sichoki kuskiliza ..Kaka ameimbaMungu azidi wainua juu
  • @
    @jmwau90منذ 4 سنوات Wow!!! the arrangement first of all, alafu this choir imebarikiwa zaidi. endeleeni kutupa nyimbo zenye kutubariki. Be blessed guys.. AIC DAR ES SALAAM.you people are fire. 3
  • @
    @lydiahkjمنذ 3 سنوات This song it's ministration is on another level
    The leader is really blessed I pray that may this song bring your breakthrough
    1
  • @
    @El9aمنذ 4 سنوات HALLELUYA ATUKUZWE BWANA MWAMBA WANGU.
    Hii si nyimbo ya kawaida.
    Mbarikiwe sana Watumishi wa Bwana Yesu.
    I see the Glory of the Lord in your praises
    AMEN.
    2
  • @
    @kigongomgassa574منذ 4 سنوات Experienced Choir in music sound, vocal and bible word songs, i love the way Convey da word of GOD. 3
  • @
    @marthamokogoti7431منذ 4 سنوات Can't stop listening to the song its a healing song. That voice so beautiful. Karibu Kenya 2
  • @
    @cieranchillo7منذ 4 سنوات God bless y'all Yo voice thou guyz❤️ 2
  • @
    @josephatmagege9052منذ 4 سنوات Be blessed guys thanks for the nice song. Nimebarikiwa Sana na huu wimbo 2
  • @
    @veronicasarita8422منذ 2 سنوات amen wimbo unanifarij sana mungu barik Kwaya hii
  • @
    @marthajohn-gx3cqالعام الماضي Nawapenda sana Mungu amesikia uiimbaji wenu
  • @
    @janethsparks9966منذ 4 سنوات Thank you my brother for bringing out the worship. God bless you as always
    Am blessed with this song, to God be all the glory
    6
  • @
    @Mose86قبل 9 أشهر Kwa kweli hapa upako ulikuwa juu yenu, Mungu awabariki
  • @
    @aidandidace8207منذ 4 سنوات Huyu Bro nakosa maneno, Na choir nzima wako vzr pia, ila leader duh Mungu ampeleke Juu kwenye Uimbaji wake. 1
  • @
    @carolinemichael1316منذ 4 سنوات Your so talented bro keep praising our good God with your blessed voice 1
  • @
    @mrwhynot7626منذ 4 سنوات Huyu kijana ana zawadi yake kwa @PastortonyKapola Naomba afikishiwe taarifa na aingie inster kuwasiliana na huyo mtumishi wa Mungu kutoka Morogoro. 1
  • @
    @agnessjohn7890منذ 4 سنوات Mungu azidi kuwainuwa kwa viwango vingine 2
  • @
    @marrymvumu8762منذ 4 سنوات This song gives me new hope be blessed aic dar es salaam
  • @
    @asainemutalemwa915منذ 4 سنوات Hakika "Ninayo sababu ya kumsifu Mungu, Mungu mwenye nguvu." Nimebarikiwa sana na wimbo huu, Mungu azidi kuwatumia katika klihubiri neno lake. 2
  • @
    @kagiraedmonds3652منذ 4 سنوات Ive searched for this song for months now
  • @
    @lisamteti8649منذ 4 سنوات Someone please tell me the name of the soloist or his YouTube channel.I'm so blessed .this one is on replay mode I can't get enough of it 1
  • @
    @samwelmashauri64منذ 4 سنوات Yaan it's very powerful song,huyu kak kanibariki saana anaimba kutoka ndani kabisa, arrangement iko vzr,vocal ataree.mbarikiwee sana. 3
  • @
    @mlelemafrancis876منذ 3 سنوات Asanteni sana, kwa kweli mnanielekeza nini maana ya kuimba. Mungu aendelee kuwainua katika viwango vya juu sana.
  • @
    @esbonmasanja8175منذ 5 سنوات Powerfully message watumishi wa BWANA hii ndio saa inayokuja na sasa ipo ambayo waabuduo halisi watamwabudu BWANA katika roho na kweli 4
  • @
    @rabbistefanos4202منذ 4 سنوات Jamaniii this is too much angelic jamanii
    Yaani vile nimeupenda huu wimbo sijui nisemeje
    3
  • @
    @veronicamoses5224منذ 3 سنوات Uimidiwe Mfalme Uimidiwe Mwokozi Nakuinulia Mikono Yangu
    Aict Dar es salaam kwaya Mungu Aendeless kuwaimalisha zaidi na Zaidi Tunabadilikiwa kupitia Nyimbo hizi
  • @
    @cieranchillo7منذ 4 سنوات Ameleta Amaani namshangiliaa huyu Mungu jamaan huyo Kaka ako na sauti nzuri mweee 3
  • @
    @happymwanguo2521منذ 3 سنوات Barikiweni watumishi wa Mungu,Nashindwa kuacha kuusikiliza hii wimbo,,najikuta nakosa la kusema
  • @
    @daudiidarabe9660منذ 3 سنوات Nimependa sana hii kwaya nilikuwa naomba waweke nyimbo Zao kwenye faili nzuri ya kudownload
  • @
    @janethsaukiwa3966منذ 4 سنوات Amen watishi kwel ni usiku wa sifa Mungu azid kuwainua ktk viwango vingine huyo kaka aliye solo Mungu azid kumuinua kazi ni muifanyayo ni njema sanaaaaaaaa. 1
  • @
    @bupemogha5681منذ 4 سنوات Nimebarikiwa sana na nyimbo zenu Mungu awabariki na awainue zaidi kwenye huduma yenu na kaka julius mwombeki wimbo wako wa nafsi yangu naogopa naupenda sana unadhihirisha ukuu wa Mungu
  • @
    @happynessmathias4085منذ 4 سنوات hakika mmeugusa moyo Wang zaidi kwa huu wmbo kaka pia umeimba ktk roho na kweli barkiwa pia, nawapenda sana. 1
  • @
    @oshaimuafrica8398منذ 4 سنوات Mungu nimwema nyimbo nzuri kila lakheri watumishi 1
  • @
    @sumakibona479منذ 4 سنوات Serious, Kaka Unae lead hii nyimbo, ongeza zaidi viwango ,watu tunatoa machozi just kwa sauti ,Mungu aliyowekeza kwakoh. Choir hongera Sanaa ,mko Just kiroho na kimwili
  • @
    @BarakaWayaمنذ 4 سنوات Hii kwaya sikuwahi kujua kama bado ipo daaaaah .Mungu awainue zaidi .Huyu aliyelead hii nyimbo nihazina nchini kwetu
  • @
    @mecksedesmkalawa437منذ 3 سنوات Jaman mbarikiwe sana na bwana wa mbing na nchi 1
  • @
    @gideonjames6998منذ 5 سنوات mbarikiwe sana wapendwa wangu. kazi njema sana 2
  • @
    @mercywilliam733منذ 4 سنوات Jamani wimbo kila SAA nausikiliza.Mungu awabariki mno,,kaka anasauti kiukweli Mungu ana watu.Duuuu! 1
  • @
    @estermlawa3529منذ 4 سنوات Wimbo mzuri huu jamani naupenda tangu niupate ninamiezi mawili sasa siwezi kulala bila kuusikilza, kila siku na sichoki big up watumishi pongezi nyingi id="hidden14" class="buttons"> saaana kwa Sollo katenda hakii bila kusahau kwaya Master Mungu AWABARIKI. ....وسعت
  • @
    @tricykalukwa5697منذ 4 سنوات Sasa saiz kwl ni AIC Dar es salaam Great!!! Just like @Neema gospel chang'ombe 1
  • @
    @monicahallan2102منذ 2 سنوات Am much blessed. Kweli ninayo sababu yakumsifu Mungu mwenye nguvu
  • @
    @hoccyhilary6789منذ 4 سنوات Mwalimu wa Kwaya Mungu akubariki sana, nimekuelewa mno, best teacher yaaani umenibariki sana
  • @
    @johnsanago2974منذ 4 سنوات Mungu awatie nguvu mzidi kusonga mbele zaid
  • @
    @MWALUJEJEمنذ 5 سنوات amen
    Mungu AWABARIKI sana
    Bro julius
    1
  • @
    @mercywilliam733منذ 4 سنوات Kuna wimbo Wa huyu kaka niliuona upendo TV.moyo wangu unaogopa.sijui ni Wa kwake au kwaya ,,,sijashika title yake anayeweza kunisaidia please .he has amazing voice 1