المدة الزمنية 6:51

SHUHUDIA MWENYEWE, NDEGE KUBWA ZAIDI KUWAHI KUFIKA TANZANIA YATUA ZANZIBAR LEO |

بواسطة KTV TZ ONLINE
63 695 مشاهدة
0
319
تم نشره في 2019/10/27

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. #Habari #KtvTzOnline Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number +255 625 323 932 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Juma Maulid CC: Saadam Seif Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima - Ali Kiba akiwa Oman /watch/gP9ye7QajQQay /watch/Y9mrg7gbcsMbr

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 227
  • @
    @zainabali2041منذ 5 سنوات Mashaallah . Allah awabarikie
    Shukran ktv tz online hakika hii ni fahari yetu
    3
  • @
    @zainababdullsadik1247منذ 5 سنوات Mashallah lakini airport zamani mnatuangushaa tangu enzii za mkoloni pls muangalie pia 6
  • @
    @abdulihafidhali5379منذ 5 سنوات Alosikia neno ATAFAIDIKA agonge like hapa chini ili twende sw 7
  • @
    @zayyatiyussuf9566منذ 5 سنوات Shukran Ktv tz online hakika hii ni fahari yetu 2
  • @
    @ramygichero1016منذ 5 سنوات Hongreni sana Wazanzibari Mungu awabariki 2
  • @
    @fahadfahmyمنذ 5 سنوات Waziri Mahmoud Boresha Kiwanja mambo mazuri yatakuja tu inshaallah.
  • @
    @mwanaz3110منذ 5 سنوات Sio ndege kubwa haijawahi kutuwa Zanzibar
    Mwambieni Babu Ali na SMZ waache ujinga na wao wanunuwe zao,Hawamuoni Magufuli mwenzao?
    14
  • @
    @daudimsangameno8304منذ 5 سنوات Ndege kubwa zaidi ya abiria kwa sasa ni Airbus A380, yenye uwezo wa kubeba abiria mpaka 800, na iliwahi kutua kwa dharura Dar es salaam ikitokea Dubai kwenda Mauritius 4
  • @
    @nasser89nasser20منذ 5 سنوات Ndege MashaAllah kwa znz lkn aibu kwa uwanja wa ndege kua hivo na barabara hata taa hamna mnataka watalii lkn uwanja miaka ishirini haujabadilika angalau utengezeni na barabara na taa za njiani iwe znz km dubai 4
  • @
    @karyori69منذ 5 سنوات ina maana mwandishi hakuwa na habari A380 ilipotua bara?
  • @
    @nadrikhamis1399منذ 5 سنوات insha'Allah tutayaona maendelea kwa jamii 2
  • @
    @salehseif9560منذ 5 سنوات Alafu mapato ya utalii wa Zanzibar yanakwenda wapi maana Zanzibar kila siku inazidi kufa 14
  • @
    @AbdillahSOthmanمنذ 5 سنوات Nunueni zakwenu mpate kuleta ufanisi wenyewe na mapato mupate mengi , visiwa ni utajiri mtupu uliopo lkn uchumi umekaliwa na wachache. Fikirieni na vizaz id="hidden3" class="buttons"> vinavyokuja maisha yao mnayatengeneza vp kwani mzazi ndie mwenye kumtengenezea mtoto wake maisha mazur au mabaya. Elimu kitu muhim sana. ....وسعت
  • @
    @jannatferdaus7251منذ 5 سنوات Mheshmiwa unatuahid kufanya kitu gani cha kuleta maendeleo Znz kupitia hilo unalolisifia ?
  • @
    @user-ys6zi7vk8vقبل 3 أشهر British airways jumbo jet ilikuwa inakuja tanzania miaka ya 90s na early 2000. Kipindi hicho tunapanda kule juu pale dar. Huyu mtangazaji atakuwa amekuja mjini juzi.
  • @
    @humuodkindi4926منذ 4 سنوات Ishawahi kutua 747 zamani hii so mara ya kwanza including ndege serikali ya Oman alikuja nayo Malkia wa Nyuki. Nsege kubwa kuliko hiyo ni Boeing 777 nayo inatua Znz kila mara from Ethiopian Airlines , na Airbus 380
  • @
    @jumayaasin5056منذ 5 سنوات we have to plan for bigger idea , I was thinking we have landed our own plane 2
  • @
    @jumatarabeni9753منذ 5 سنوات 747 alikuja nayo mfalme was Morocco na watatiano walashawahi kuja na hii no ya tatu 747 1
  • @
    @yahasalel-sheibany5403منذ 5 سنوات Loooool!
    How comes ndege imejaa wat 525 half kwa mwez upat wat 4500-5000 muheshimiwa waziri kwa mwez ni wagen 2100 kupitia company hio, hap una id="hidden6" class="buttons"> apply multiplication t.
    525 X 4=2100 labd mpk March zikiongezeka mara tatu ndo utapat wagen hao.
    ....وسعت
  • @
    @hajihaji6351منذ 5 سنوات Malizeni uwanja ni aibu sana mana ukikaa unasubur upande ndege joto kali hamna hata A/c 3
  • @
    @bodeamaimbo4180منذ 5 سنوات Acha uongo mtangazaji kusema Ndio ya kwanza kutumia hata bara naile ya Emirates jk Nyerere usipotoshe watu sema hii ya kwnza Kwa airport ya visiwani Zanzibar
  • @
    @amourmtungo623منذ 5 سنوات Sasa hii ndege ni ya Zanzibar au ya kigeni? Lakini barabara zetu na maji au miundo mbinu inaruhusu kuwaridhisha hao wageni?
  • @
    @MAPETEEمنذ 4 سنوات Sio kweli pesa zoot zapelekwa
    Dar huko
    Zanzibar Ina kufa na nannja
    Km kwel gonga Hapo
    3
  • @
    @salhkasmm558منذ 4 سنوات Na changing ya machafu pia kwa watoto watafaidika
  • @
    @abubakaromari1567منذ 5 سنوات mm nikusema ni yenu kumbe mushereheke ndege za watu
  • @
    @issamohammed2458منذ 5 سنوات Tupeni khabari za kweli ndege haijawahi kutuwa na Air Tanzania ishawahi kumiliki 747 boing
  • @
    @safianassir3843منذ 5 سنوات Tumefurahi kutua ndege kubwa zanzibar lkn ilikuwa kabla tutizame wapi inatuwa na wapi wanapokea wageni kiasi kikubwa na wanaondoka pia panakuwa na foleni hujui aunzie wapi
    Hakika hii ni fakhari yetu
  • @
    @bokasa5150منذ 5 سنوات kt huo ni Uwongo ndege aina hii zimeshatua km mara ya tatu
  • @
    @ibrahimkhatib2899منذ 5 سنوات Jamani hatuoni aibuu jana2 magufuli alipokea ndege mpya ya tz sisi hataaa hatuelewi tupotuu jamani hayo mapato yanaenda wapiii?
  • @
    @husnamohamed9245منذ 4 سنوات Itolewe tra ilipiwe zanzibar tu pesa zenda bara .na hao wazungu waskiwaibia hao washajivunjia
  • @
    @asrymohd6690منذ 5 سنوات Tunataka yetu Zanzibar sio zawatuuu meli zishatosha mwacheni bakharesssa 1
  • @
    @abukingkima092منذ 5 سنوات Tutangaze na tuvipende vya kwetu kwanza ili nchi yetu ikuwe kiuchumi na hasa kijamii ili serikali ipige hatua na wananchi wapate maendeleo
  • @
    @hassanmchwakachangama888منذ 5 سنوات Kubwa ushirikiano na uaminifu tu kwenye hayo mapato wa sijinufaishe wa kubwa tu
  • @
    @adullali775منذ 5 سنوات Mimi nauliza mgeni yoyote akiingia nchini akilipa VIZA pesa inaenda as Zanzibar or Tanzania? Who is immigration'''
  • @
    @zayyatiyussuf9566منذ 5 سنوات Mashaallah chuma simchezohalafu mtu wa kwazwa kuhojiwa anazungumza hata mate hamezi kwa fraha. Mtangazaji nimesikia hongera kwa kazi 3
  • @
    @ruaiyatruaiyat691منذ 5 سنوات Mnajisifu ndege yenu? Ndege si mnamuachia ananunua Magufuli. Nyinyi anakutoeni Kapa. Anaitengeza bara. Nyinyi mpoo tuu kidumu kidumu. Yeye yake yanamuendea. 10
  • @
    @micamathew6433منذ 5 سنوات Hiyo inaweza kutua hata hapa Arusha tu. 1
  • @
    @zayyatiyussuf9566منذ 5 سنوات wacha chuma kitue chini nishangae japokua kushangaa mwisho mara moja. Nimezipenda hizo kawa kofia mmevaa kwa sababu ya kuipokea ndege? 1
  • @
    @mselemhaji1969منذ 5 سنوات Pesa zote zitakazoingia lakini hakuna hata kimoja kitakachofanyika isipokua nikula wakubwa tu hata barabara zitashindwa kumalizwa wapuuzi ccm
  • @
    @twilindeissa9343منذ 5 سنوات upumbavu wenu kaziyenu kujisifu lakin wananchi wanakufa kwa nnjaa kazi maneno mengi
  • @
    @oscarmtavangu3053منذ 5 سنوات Kwa masahihisho, airforce one ni 747, ilimleta bush halafu obama tz
  • @
    @AliAli-xi3huمنذ 5 سنوات Mtaniwia radhi Haya mambo yanavyokwenda hizi taasisi zimekaa Kama saccos
  • @
    @MohdRashid-cu9qbمنذ 5 سنوات Imeleta nn wasenge au wenda uchi kutoka Ulaya
  • @
    @nadiyakisho2178منذ 5 سنوات fanyeni mnunue ya kwenu so kusifu za watu
  • @
    @hatimmohamed4299منذ 5 سنوات Nilidhania ndege yenu aah!!
    Halafu hata zikijaa itatusaidia nini???
    Wizi tu.
    Wacheni majisifu fanyeni vitendo na sio kukusanya kodi mkajenga majumba na kugawana viwanja.
  • @
    @theroots2743منذ 5 سنوات Sasa subirini kiboko yenu mtakavyoambiwa kutoka kwa watawala au mabwana zenu
  • @
    @kassimomar7589منذ 4 سنوات Pesa halafu zenda WAP njia zotee mbovu Pemba mzima 1
  • @
    @sultantany6091منذ 5 سنوات Nilijua nasisi tumenunua ndege kumbe imekuja kutembea
  • @
    @abuuashyam8417منذ 5 سنوات Aah
    minilizani yanchi ytu kumbe yawatu,
  • @
    @fahdihasnuu9034منذ 4 سنوات Leten habar ambazo zitafungua akili zz watu uchumi wa watu unaanguka kila leo dah yani kweli wanahabari pia mumefilisika kimawazo pumbav
  • @
    @ibnsoudmzee5246منذ 5 سنوات Lakini je hizo pesa mtakazo pata zitabaikia Zanzibar au mtaendelea kuzipelaka bara 4
  • @
    @salamakhamis7245منذ 5 سنوات Munafurahia na kudidimiza tamaduni zetu za kistaarabu munacho angalia nyinyi matumbo yenu tu
  • @
    @qassimmuhammad9634منذ 5 سنوات Jana tumepokea yetu air Tanzania dreamliner hapa bongo 3
  • @
    @dullahamoud6037منذ 4 سنوات Sasa zanzibar mumiliki ndege yenu sio pesa hazionekani wageni waja tu
  • @
    @samirahassan3212منذ 4 سنوات Msionyeshe ndenge tu onyesheni nahayo mapelenge wanao ua ndunguzetu kwa madawa yakukevya
  • @
    @smithjones4099منذ 5 سنوات wageni wamekuja kuchukua kisiwa cha znzibar.acheni tamaa
  • @
    @hamedabdallah6728منذ 5 سنوات Hahahaaaa hatariii ndugu zetu wa damu wapokea ndege zao Air Tanzania kwa sherehe sisi twapokea Air Russia kwa sherehe tena itakayokaa Zanzibar kwa saa id="hidden11" class="buttons"> 1 tu inaondoka ujinga mtupu tutaishia hv kusindikiza watu kwa unafiki wa viongozi wa Zanzibar. ....وسعت
  • @
    @ramygichero1016منذ 5 سنوات Russia ni nchi nzuri sana kwa utalii jitahidi na rudini tena mkawa lete wengine
  • @
    @fahadfahmyمنذ 5 سنوات Water salute yanini hiyo mvua inatosha
  • @
    @jumailyass9308منذ 5 سنوات Sidhani Kama inamfaifisha mzanzibar hapo