المدة الزمنية 5:11

Mazoezi ya kujaza/kujenga kifua (Chest workouts).

11 458 مشاهدة
0
67
تم نشره في 2021/08/29

Mazoezi ya kujaza/kujenga kifua. Misuli ya kifua imegawanyika katika sehemu tatu(3),yaan sehemu ya juu ya kifua, katikati na chini. Kama kifua kilivyo pia yapo mazoezi yenye kulenga sehemu hizo tatu kama yapo kama ifuatavyo: 1.Sehemu ya juu ya kifua(Upper pecs) Mazoezi yanayojenga sehemu juu ya kifua ni pamoja na incline bench press(bench la kulalia liwe na mwinuko angalau wa 45°) kwakutumia barbell au dumbbells. 2.Sehemu ya kati ya kifua(Middle pecs) Hapa bench la kulalia linatakuwa kunyooka. Hili ndio zoezi maarufu sana katika sehemu za kufanyia mazoezi yaani gym. 3.Sehemu ya chini ya kifua(Lower pecs) Zoezi linalojenga sehemu ya chini ya kifua hufanywa katika bench lenye mlalo angalo wa 30° Kumbuka katika kila zoezi inashauriwa kufanya mara 8,10 au 12 kutokana na uzito unaotumia. Unaweza kutufuata katika mitandao yetu ya kijamii https://instagram.com/brotherhoodfitnessclub https://facebook.com/brotherhoodfitnessclub WhatsApp: 0765 551 552 USISAHAU KU-SUBSCRIBE HAPO JUU. Kama una swali unaweza kuuliza hapo kwenye sehemu ya comments. #chestworkout #benchpress #dumbellspress#dips #bigchest#kifuakikubwa #mazoeziyakifua#chestexercise#gym #workoutvideos #gymworkout #videozamazoezi #workoutmotivation #gymrat #workoutvids #gains #video #misuli#gymmeme #tizi #fitnessgym #workoutroutine #fitnessaddiction #diet #personaltrainer #gymtraining #mazoezi #exercise #gymnation #healthy #muscle #abs #sixpacks #kukatamafuta #afya#kupunguzakitambi #gymlifestyle #gymnastics #health #kupunguzaunene

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 5