المدة الزمنية 36:00

PART4:KIJANA ALIYERITHI MIKOBA YA UCHAWI WA BABU YAKE AELEZA ALIVYOFANYA MAUAJI YA KUTISHA/GAMBOSHI

بواسطة Davistar Mata Media
7 455 مشاهدة
0
116
تم نشره في 2021/01/16

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 198
  • @
    @monicasimpilu6257منذ 3 سنوات Dunia ina mambo hii wengine tunalala wengine wanakesha kutafuta kula nyama za watu. Wengine kuchukua nyota xa watu Mungu tusaidie waja wako. 13
  • @
    @seasonepisode3328منذ 3 سنوات Apana jina lingine lenye nguvu zaidi ya jina la Yesu kwa jina la Yesu majini wanakimbia 2
  • @
    @zettyhassani2244منذ 3 سنوات Subhana Allah ,mungu nakushukur kwa uzima huuu 1
  • @
    @rosecruiz4348منذ 3 سنوات Ubarikiwe sana kakangu mungu azidi kuku tia nguvu katika safari ya kwenda mbinguni 1
  • @
    @navokisemboمنذ 3 سنوات Barikiwa saana kaka Yesu ndie njia na uzima
  • @
    @frankmtei3017منذ 3 سنوات Ameen, ubarikiwe sana MTU wa Mungu. Yesu ni Bwana!.. Hallelujah. 1
  • @
    @elizanzula8375منذ 3 سنوات Asante sana nyote mpaka mrudi kwa MUNGU palipo na usalama wa milele na hakuna majuto
  • @
    @farhathamdansalum9725منذ 3 سنوات Kk ww kwa kweli hatari venye unawaganguwa
  • @
    @wantangosaimon5295منذ 3 سنوات Sasa wew Davis unashangaa MTU kufaulu mtihan kupitia majini umesahau JUMA 17 julieti alivyomuwezexha akafaulu mtihan wa shule kupitia juliet 1
  • @
    @florencerose859منذ 3 سنوات Kama umeokoka umewacha mabaya na mbona umeficha usoooo?
  • @
    @seasonepisode3328منذ 3 سنوات Nakumbuka kaka angu alikua mwalimu mkuu alioa muislam yule dada alikua na majini Atari basi akawa anaombewa yakamtoka ila yakamuingia mtoto wake wa kike.miaka mingi sana imepita sijui kama yalitoka au laa..
  • @
    @jamesswai6583منذ 3 سنوات Mungu mkuu Sana. Yesu ndo Kila kitu Jamani, Njoon Kwa Yesu. 1
  • @
    @costavalenci7699منذ 3 سنوات Dav huwa napenda Sana namna unavyomhoji mtu
  • @
    @fatmaalrshdii7615منذ 3 سنوات Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli endelea kutusomesha wanafunzi wako tunaelewa bila ya kutuchapa viboko 2
  • @
    @wantangosaimon5295منذ 3 سنوات Aisee davix kipindi hiki kinatufundixha vitu vingi sana saa nyingine Kumbe unaweza kukosana na familia yako kumbe unakuta umepandikkzwa uchawi tu wa kuwavuluga 4
  • @
    @farhathamdansalum9725منذ 3 سنوات Hii kweli kuna watu hutumia maji kujuwa kusoma hajakosea
  • @
    @nurafedrick378منذ 3 سنوات Hongera kumuachaa shetani nakurudia Mungu wako
    Ilahapo kwa lita ishirini xadamuhapo si mat xima ndoitoshe hilo dumu ama mbili ‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️
  • @
    @rasjamal9854منذ 3 سنوات Hii Deep Davistar mata ubarikiwe maana tuna jifunza mengi sana kupitia kipindi chako
  • @
    @macamezunguzungu5697منذ 3 سنوات Wachawi wapuuuzi saaaana hapa dunia hawajali pesa so kuuwa watu tu bila faida mungu siku ya kiama piga kibiliti 2
  • @
    @ruthkwamboka9082منذ 3 سنوات Ewe Mungu twakuomba utuokoe kutoka kwa Dunia ii 1
  • @
    @ahmedmohd3287منذ 3 سنوات Ahhhhhh !!! Brada nimeipata iyo tena aahhhhhh 1
  • @
    @deelissa2746منذ 3 سنوات Mti mkav si ndio alisema yy ni mwenykt wa wagng tz 1
  • @
    @meenalaza406منذ 3 سنوات Jamani bro davistar usiku ukilala huoti ndoto mbaya maana story nizakutisha tu
  • @
    @credo7837منذ 3 سنوات Safi sana nilikuw naingoja kwa ham tuko pamoja 1
  • @
    @seasonepisode3328منذ 3 سنوات Yan majini yamewaingia watoto wa mchungaji mala watoto wanaswali swala 5 na wanaongea kiarabu inamana apa inamaanisha wale wanao swali swala 5 na kuongea kiarabu means ni wa shetani asante Yesu kristo
  • @
    @heartheart7628منذ 3 سنوات Ukion davi amepost hii video ikiwa ndefu namna hii jua kuna stori zingine zinakuja kwa wingi 2
  • @
    @farhathamdansalum9725منذ 3 سنوات Kk Davi mtafute huyo mganga ujue umuhoji na yy
  • @
    @denizamahongo8557منذ 3 سنوات Yaani kila siku nastaajabu mambo haya Duniani, kweli nabaki mdomo wazi kazi hipo ,damu ya yesu itakase kwa kila jambo. 1
  • @
    @jesusislord9190منذ 3 سنوات Kabla hamjaanza kuombewa mnapaswa kwanza mfundishwe biblia hakuna mahsli kwenye biblia pameandikwa uchawi umeletwa na MUNGU
  • @
    @frankmtei3017منذ 3 سنوات Damu ya mtu ikimwagwa inaongea kudai ilipiwe kisasi
  • @
    @shizaarfred4059منذ 3 سنوات Yan hawa wajinga sana hawaonagi sehem nyingine za kwenda kucheza mpka kanisan wote mtateketea na mtamludia muumba wenu
  • @
    @godwinjosephat5044منذ 3 سنوات DAVISTER MATA NIMEFUATILIA SIMULIZI ZAKO NYINGI SANA, UKWELI NI KWAMBA WENGI WALOOPATA MATATIZO JINA LA YESU (UKRISTO) NDIO UMEWAOKOA, KUNA KITU CHA MSINGI SANA KINAONEKANA HAPA. 3