المدة الزمنية 7:28

WAZIRI BITEKO ATOA MAAGIZO BAADA YA 'KUSHANGAZWA' NA KILICHOFANYWA NA MWEKEZAJI MZAWA.

بواسطة GADI TV
1 218 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2021/11/21

Waziri wa Madini Dotto Biteko amewataka wachimbaji wa madini ya Rubi katika eneo la migodi ya Mudarara Wilayani Longido Mkoani Arusha, kutojihusisha na vitendo vya utoroshaji wa madini hayo kwa njia za uchochoro kuelekea nchi ya Jirani, na endapo atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria. Biteko, ametoa kauli hiyo alipotembelea mgodi unaoendeshwa na kampuni ya R-GI COMPANY LIMITED inayomilikiwa na mzawa, ikiwa baada ya Mkurugunzi wa kampuni hiyo Prospa Tesha kukabidhiwa mgodi huo na Serikali siku za hivi karibuni. GADI TV ndiyo Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: gaditvhabari@gmail.com Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV Thanks.

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 1