Mkate wa Boflo ni mkate mzuri sana, ladha yake ni tamu sana kuliko mikate mengine hasa unapokua wa moto moto, mikate hii hutumika zaidi katika visiwa vyetu vya zanzibar.
Boflo kwa halua, Boflo kwa chai, Boflo kwa supu, Boflo kwa maharage, Boflo kwa siagi ni baadhi tu ya menu ambazo tumezoea kula katika visiwa vyetu hivi.
Kwa mahitaji Boflo hizi ambazo tumonyesha kwenye video yetu hii wasiliana na namba hii hapo chini: -
+255778695347