المدة الزمنية 25:53

SOKA KIJIWENI: Abdallah Shaibu 'Ninja', na maajabu aliyokutana nayo kwenye soka la Marekani

بواسطة Azam TV
65 889 مشاهدة
0
379
تم نشره في 2020/02/04

Ni mchezaji wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa anaichezea LA Galaxy ya Marekani aliyokuwa akiichezea Zlatan Ibrahimovic. Hapa amekutana na Dodi katika Soka Kijiweni, kipindi kilichoruka Jumatatu tarehe 3/2/2020 Azam Sports 2.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 32