المدة الزمنية 5:55

Mambo makubwa 4 ambayo wanaume hawayapendi kwa wanawake

بواسطة IPM MEDIA
2 008 مشاهدة
0
24
تم نشره في 2021/06/27

#mapenzi #mahusiano #ipmmedia Katika mahusiano yapo mengi ambayo ukiyafanya yanaweza kuwa chukizo kwa mwanaume au mwanamke, ila kila jinsi ina namna ambavyo imeumbwa, kuna baadhi ya mambo wanawake hawayapendi kwa wanaume pia yapo mambo ambayo wanaume hawayapendi kwa wanawake ambayo yanaweza kuwa chanzo namba moja cha kuvunja uhusiano na mpenzi wako bila kujali ni muda gani mmedumu katika penzi hilo. -Leo tuyazungumzie yale ambayo wanaume hawayapendi kutoka kwa wanawake, kama kuna mwanamke anaangukia katika kundi moja wapo ajue dhahili kuwa mwanaume wake hafurahishwi naye. -Na ndio sababu wanaume wengi huchepuka endapo atakutana na mwanamke mwenye sifa hizi; Mapenzi, mahusiano,ainazawanawake, imarishamahusiano,wanawake, ndoa, stylezakumparahampenziwako, stylezakumpaujauzito, styletamuzamapenzi, wowowo, makaliomakubwa, elimikaonline, trending

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 9