المدة الزمنية 1:38

CORONA TANZANIA: WAGONJWA WAONGEZEKA, WAFIKIA 306, WAZIRI WA AFYA ATHIBITISHA..

بواسطة Global TV Online
54 252 مشاهدة
0
202
تم نشره في 2020/04/28

CORONA TANZANIA: WAGONJWA WAONGEZEKA, WAFIKIA 306, WAZIRI WA AFYA ATHIBITISHA.. WIZARA ya Afya Zanzibar imetoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wapya saba walioambukizwa virusi vya corona na kufikisha idadi ya wagonjwa 105 kutoka 98 visiwani humo. Wagonjwa wote wapya ni raia wa Tanzania na wametokea visiwani Unguja. Kwa ongezeko hili sasa idadi ya visa vya corona Tanzania nzima imefikia 306 kutoka 299 tangu ugonjwa huo uingie nchini. “Wagonjwa wote ni Watanzania, wametoka Unguja, jumla ya wagonjwa 36 wameruhusiwa kwenda nyumbani wanashauriwa kubaki ndani ya nyumba zao siku 14, huku wataalamu wa Afya wakiendelea kuwafuatilia,” amesema Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid. Serikali imetoa wito kwa wananchi kuendeea kuchukua tahadhari. Pia kwa wenye dalili wametakiwa kupiga simu namba 190. Aidha, wizara imevitaka vyombo vya habari kupata taarifa za virusi vya Corona kutoka kwa Wizara ya Afya Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania http://bit.ly/exclusive_interviews

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 39