المدة الزمنية 1:3

Rubambangwe

بواسطة Taste of Luxury
2 492 مشاهدة
0
18
تم نشره في 2019/02/28

Halmashauri ya mji wa Chato ikishirikiana na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) inawaletea mradi wa uuzaji wa viwanja vya matumizi mbalimbali katika eneo la Rubambangwe lilipo katika mji wa Chato pembezoni mwa Ziwa Victoria na barabara kuu iendayo Bukoba. Ni mradi wa wa viwanja 1035 vinavyouzwa, ukihusisha viwanja kwa ajili ya matumizi ya makazi, makazi na biashara, viwanja vya biashara, maeneo ya kumpumzikia, viwanja vya michezo na huduma mbalimbali za kijamii kama zahanati, Shule, Vituo vya Mafuta kwa bei ya kuanzia Tsh 1,300 kwa mita ya mraba. Changamkia fursa hii ya kipekee kwa kununua kiwanja katika mji unaokua kwa kasi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3