المدة الزمنية 1:5

USIKATE TAMAA, MUNGU HUSAMEHE (Inspirational Video)

بواسطة Abnau Muhammad
611 مشاهدة
0
30
تم نشره في 2020/09/20

Watu Wengi Hudhani Baada Ya Kutenda Madhambi Kwa Muumba Hivyo Hawezi Kusamehewa, Jambo Ambalo Sio Kweli. UKWELI NI KWAMBA: Hata Uwe Mzinifu, Mwizi, Kibaka, Jambazi, Muuaji, Muongo, Tapeli, Bakhili, Mfitinishaji, Mla Rushwa, Kutokuwa Muadilifu, Mnafiki, Mwenye Riya, Mtembea Uchi N.k MAADAM UPO HAI UKITUBIA MUNGU ANAKUSAMEHE MADHAMBI YOTE. Mtume (S.A.W) Amesema "Hakika Ya Mwenyezi Mungu Anakubali Toba Ya Mja Maadamu Roho Yake Haijafika Kooni". Hivyo Nawaausia Pamoja Na Kuiusia Nafsi Yangu Kutubia Kabla Muda Wetu Haujaisha Wa Kuondoka Hapa Duniani, Na Cha Ajabu Hakuna Anayejua Wakati Gani Ataondoka Duniani Kwani Mauti Huja Ghafla, Hivyo Ni Bora Tukatubia Muda Huu. #abnaumuhammad Prepared by ABNAU MUHAMMAD (0675633974)

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 14