المدة الزمنية 8:9

KIJANA AUAWA KWA KUCHOMWA VISU AKITOKA KANISANI ARUSHA ALIPATA DIV 1

بواسطة Millard Ayo
141 446 مشاهدة
0
596
تم نشره في 2021/08/25

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Laizer amezikwa leo katika kata ya Moivo Wilayani Arumeru,Mkoani Arusha baada ya kufariki kwa kuchomwa visu maeneo mbalimbali katika eneo la Philips wakati akitoka kanisani akiwa na fomu zake za kuombea mkopo wa kwenda chuo kikuuu baada yakupata divison 1

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 228