المدة الزمنية 1:8

LUKUVI''MADALALI WA VIWANJA LAZIMA WASAJILIWE MWEZI HUU KUEPUSHA UTAPELI

بواسطة KAHAMA TV ONLINE
237 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/07/04

WAZIRI wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameagiza madalali wote wa viwanja kusajiliwa kuanzia mwezi huu ili kuepusha migogoro ya ardhi inayosababishwa na madalali matapeli. Waziri Lukuvi ametoa maelekezo hayo Jijini Dodoma kwenye kikao Cha viongozi wa Ardhi na viongozi wa Mkoa kwa ajili ya kutangaza Programu maalum ya kushughulikia na kumaliza changamoto ya migogoro ya ardhi katika Mkoa wa Dodoma . Aidha,amepiga marufuku kwa wenyeviti wa Mitaa kujihusisha na uuzaji wa ardhi kwa kuwa ardhi zote zilizopo mjini zinasimamiwa na mkurugenzi kwa niaba ya Halmashauri. USISAHAU KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI UWE UNAPATA UPDATE MPYA KILA TUNAPO WEKA HABARI MPYA WAKATI WOWOTE BONYEZA HAPA CHINI KWENYE MAANDISHI YA BLUU /channel/UCcCo ... https://www.instagram.com/kahamatvonline/ #KAHAMATVONLINE #HABARIZAHIVIPUNDE

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0