المدة الزمنية 7:11

Mkuu wa Mkoa Ana Majibu ya Hovyo /Padri Afichua Mazito Mkutanoni

بواسطة Habari Kwanza
101 483 مشاهدة
0
423
تم نشره في 2020/02/28

""Mkuu wa Mkoa Ana Majibu ya Hovyo" /Padri Afichua Mazito Mkutanoni BONYEZA LINK 👉 https://play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.kwanza kudownload application ya Habari Kwanza sasa uwe wakwanza kupata habari, matukio na taarifa zote muhimu.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 143
  • @
    @njiroimanuel8063منذ 4 سنوات Munguakulinde mkuwetu njoarusha mwakani uwemkuwamkoa 1
  • @
    @mwanahalimamwachili9679منذ 4 سنوات Swadaktaaaaa Sana Muheshimiwa,Saidia Wananchi. 2
  • @
    @Mamatonny2065منذ 4 سنوات Wanaogopa kutumbuliwa hapo. wananchi wamechoka kufuga ujinga.Mkuu wa mkoa hongera sana kwa kazi nzuri. 3
  • @
    @aboubacarkillo5140منذ 4 سنوات Once again nasema mh hap uko vzr sana vzr sana,hongera sana 2
  • @
    @amosimichael208منذ 4 سنوات Mkuu uko na logic Kali mpatanish mzuri keep it up!! 1
  • @
    @ramadhaniabdulkadry288منذ 4 سنوات Good mkuu wa mkoa napenda xana UTENDAJI wako. 4
  • @
    @khairiyyaonline3616منذ 4 سنوات Gonga Like saana kwa mkuu wetu wa mkoa oyeeeeeeeee 1
  • @
    @janekikoti2179منذ 4 سنوات Safi sana mkuu wa mkoa hao wamezoea kuwanyazisha wananchi 3
  • @
    @ymusic803منذ 4 سنوات Safii sanaa cjafka huko iringa but nakukubali sanaa
  • @
    @gastordominic410منذ 4 سنوات Happi upo vzr.ila kuna mapungufu.school mate wangu 4
  • @
    @richardbuhatwa1940منذ 4 سنوات Hekima nyingi mkuu wa mkoa wa iringa ally hapi kazi nzuri kuwa mpatanishi wa viongozi na wananchi mungu awenawe daima
  • @
    @blacknature3691منذ 4 سنوات Mh Ali unahuruma Sana ngekuwa mwengine angemtumbuwa huyu kaka 2
  • @
    @brendachemtai6214منذ 4 سنوات Mkuu wa mkoa tanzania iringa mpya kutoka KENYA twakupenda bure akii unafanya kazi nzuri mno i wish ungekam KENYA utusadie pia sisi
  • @
    @ndagamwesa9955العام الماضي Hatakiswahili hajui et basi naomba ladh
  • @
    @mariamm2724منذ 4 سنوات Mkuu, unahekima sana ,nimeipenda hiyo ya usifanye ivo ,nakulove sana,ck nikirudi tz nakutafuta, 2
  • @
    @pascalmsilwa7817منذ 4 سنوات Jamani tupeni namba ya mkuu wa mkoa tumpigie sisi hatumwogopi 2
  • @
    @zuwenaalamini4158منذ 4 سنوات Mmmh! Padri ni mbeyaIla Bora kausema ukweli 6
  • @
    @gastordominic410منذ 4 سنوات Kwa nn hamkuulizwa siku zote zilizopita 1
  • @
    @thomkimaro5801منذ 4 سنوات hakika ningepata nafasi yakuchagua kazi nikufanya na huyu mkuu wa mkoa kijana. braza piga kazi madingi wengi wanazingua 3
  • @
    @simonlulenga7062منذ 4 سنوات Duh mkuu wa mkoa bwana! Tunakupata kwa vipande vidogovidogo mno. Maana unafanya mambo mazuri hapo Iringa hadi raha. Tunatamani full story, lakini tuishia kuona kidogo tu. 1
  • @
    @ludovicmjili8480منذ 4 سنوات Mtendaji yuko sawa kila mtu amalize majukumu yake kwa nafasi kama kila kitu kinamalizwa na mkuu wa mkoa. hawa subordinates kama mtendaji, afisa n.k id="hidden2" class="buttons"> hawatakiwi kuwepo ili kila mwananchi aende kwa RC.
    Pia huyo padri wa ccm askofu, mkuu wake wa shirika amuonye mbaya sana kwa padri kujinasibisha na chama.
    ....وسعت 7
  • @
    @michaelnzunda7347منذ 4 سنوات Ako kaafisa mtendaj ka kata hakafai kua kakiongozi,chek kanavo tetema 7
  • @
    @blastusmitawo2014منذ 4 سنوات Kwa wana Iringa naomba namba ya mkuu wa mkoa
  • @
    @zainabubalama4622منذ 4 سنوات Mkuu WA MKOA Happ tunakuomba ufike Kijiji cha Wangama ukaone xhida tunazo pata 2
  • @
    @hermanmkamilo9985منذ 4 سنوات shule ni muhimu sana na tatizo ni kuweka watukwa kuwa wanajua kuongea. kimsingi katika mambo ya utendaji kila nyanja hushughulikia mambo yake, na hata id="hidden3" class="buttons"> mkuu wa nchi analitambua hilo , ndio maana huteua wakuu wa mioa hadi wenyeviti, sasa hivi jamani kero ya mtaa kuwa mchafu aje aambiwe mkuu wa mkoa si utoto huo? ....وسعت 1
  • @
    @oikoludasi8769منذ 4 سنوات Pdri Ana chm mkuu wa mkoa nae anachma tunaenda wap 5
  • @
    @relaxationalmoments7029منذ 4 سنوات Hawa watendaji wa chini bure kabisa! Mnasubiri Mkuu wa mkoa ameitisha mkutano wake na wananchi kusikiliza kero zao ndio mnaweka masharti yenu? Eti "tuulizeni id="hidden4" class="buttons"> sisi yanayotuhusu"! Siku zote mlikuwa wapi kutatua kero za hawa wananchi, mpaka mnasubiri mkutano wa Mkuu wa mkoa? Zero minus kabisa hawa! ....وسعت 1
  • @
    @marrycomedian1253منذ 4 سنوات Mkuu wa uko vizuli iringa hatujasomea elimu kama wewe wamesomea umbes na mjungu huyo ni chadema naomba uje kihesa mgagao kuna viongozi hawajasoma kabisa id="hidden5" class="buttons"> wanatunyanyasa sana njoo wanawake tunazalaulika sana huyo ni fisadi sana jitu zima hilo halina haya linyanyasaji ssna hata huku wapo ....وسعت 1
  • @
    @KUTOKA-ep2fkمنذ 4 سنوات Eti paroko unapelekaje mizigo na misiasa yako kwa kiongozi wa kiserekali badala ya kusaidia kuondoa kero! 1
  • @
    @msetikebwasi6895منذ 4 سنوات huyo jamaa anacheka cheka nini,hafai kabisa,,,,
  • @
    @franciscomohamedjumanne1136منذ 4 سنوات Huyu padri sikupendi maana kunasiku unanyanyasa raia kwa sababu tu wameenda kujisaidia chooni hapo ,we padr gani 1
  • @
    @alwaysthink0220منذ 4 سنوات Boss you are wrong men the guy was honest with his apology and you ashemed him publicly I think that was wrong on your behalf sir muhishimiwa
  • @
    @paulinasemindu1292منذ 4 سنوات nikushaur padre,wangu unahak lkn ww fanya kz ya mungu siasa haitokupeleka kokote babw
  • @
    @festomsoffe3767منذ 4 سنوات Ni jipu mkuu wa mkoa kufuatilia kwa ukaribu
  • @
    @elyudsaleh6044منذ 4 سنوات Askofu Wa huyo padre amkaribishe jimboni na kumkumbusha kuwa Chama chake ni Biblia. 6
  • @
    @mcrootsav7712منذ 4 سنوات Nimependa alivyo jinyenyekeza kwakuomba msamaha.lkn.pia nimegundua Elimu zaidi yahitajika kwa watendaji wa vijiji na kata.wajumbe na wenyeviti.kusaidia kujielewa zaidi.kuijua mipaka yao yakazi pia.
  • @
    @onesmometili3594منذ 4 سنوات Kweli kabisa kwa hapi, DC wake kilolo, na Rc wa mbeya
  • @
    @hizim6699منذ 4 سنوات Vitu vingine bhana nimecheka kweli yani live tu sshv hakuna pembenipembeni ukichana unachanwa live km kuhukumiwa unahukumiwa live hata kweny vyama vya id="hidden7" class="buttons"> siasa unaona mtu anakula kesi pale mkutanoni au anatolewa nje ya mkutano apo kweny kikao hakuna pembeni pembeni
    Thus good Hon.Regional commissioner of Iringa
    ....وسعت
  • @
    @amospetro3828منذ 4 سنوات Huyu mrangi hajitambui snaaa anajifanya anajua kila kitu,ndio shida ya wa rangi ,kero hazitatuliwi jukwaani aiseee !! 1