المدة الزمنية 7:32

RC MAKONGORO NYERERE NA VITUKO VYAKE LEO AKIKARIBISHWA KIKI OYEE, MIMI SIO RAIS

بواسطة Millard Ayo
37 698 مشاهدة
0
201
تم نشره في 2021/06/25

Mkuu wa mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere amesema atafanyia kazi ushauri aliopatiwa wakuruhusu uchimbwaji wa madini katika kitalu C ambacho kinamilikiwa na serikali baada yakusimama kwa shughuli za uchimbaji kwa zaidi ya mwaka mmoja. Makongoro ametoa kauli hiyo alipoalikwa na wafanyabiashara wa madini mkoani hapo kwa lengo lakumkaribisha pamoja nakutoa tuzo kwa wafanyabiashara wa madini wanaolipa vizuri kodi ya serikali,pamoja nakusaidia jamii .

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 33