المدة الزمنية 2:36

MR & MRS SAMWEL BASHAKA WAISHUKURU FABI EVENTS

بواسطة fabievents
296 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2021/06/30

Fabievents ni mfumo ambao unasaidia katika maandalizi ya sherehe kama Harusi, Sendoff , Kitchen Party na nyinginezo kupitia online. Mambo makubwa na mazuri utayapata ndani ya Fabievents. • Bajeti :- Inarahisisha kuanda bajeti ya sherehe huna haja yakumiza kichwa na mahesabu au kutumia kikokotozi. • Ujumbe :- Automated bulksms inawakumbusha wajumbe vikao na michango, ujumbe unaenda na jina la mpokeaji. Pia nakulingana na matumizi yako marangapi kwa wiki. • Ahadi :- Inasaidia kuweka taarifa za wote pamoja na kila mjumbe kiasi gani alichoahidi, alicholipa na balance yake. • Kadi :- Inasaidia kujua nani nan ani anastahili kupewa kadi ya single au double ama hana sifa kulingana na mchango wake aliotoa. • Watoa huduma za sherehe :- kama MC,kumbi, mapambo, keki, chakula, picha na video wote wanaruhusiwa kujitangaza free Fungua account yako hapa https://www.fabievent.com/Sign_up https://www.fabievent.com Soma zaidi kuifahamu FabiEvents https://www.fabievent.com/News/p/ZIJUE-MBINU-ZA-KUFANYA-KABLA-YA-KIKAO-CHA-KWANZA-CHA-HARUSI-YAKO https://www.fabievent.com/News/p/FABIEVENTS-NI-NINI https://www.fabievent.com/News/p/AUTOMATED-WEDDING-BULKSMS 0714 569 149 info@fabievent.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0