Mayarisho ya samaki:
Bizari ya manjano kijiko 1 kidogo
Pili pili ya unga kijiko 1 1/2 kidogo
Tangawizi mbichi na kitunguu thom kijiko 1 kikubwa
Chumvi kijiko 1 kidogo
Mafuta ya kupikia kijiko 1 kikubwa
Ndimu au limao kiasi
Kwa mchuzi wa nazi:
Tui la nazi aina 2 ( vikombe 4)
Tui jepesi, tui zito
Nyanya nzima 2
Nyanya ya kibati (paste) kijiko 1 kikubwa
Kitunguu 1/2
Thom na tangawizi mbichi ya kusanga kijiko 1 kikubwa
Majani ya kotmiri kiasi
Pili pili mbichi kama utapenda
Tui la nazi jepesi vikombe 2
Tui la nazi zito vikombe 2