Dont Forget To Subscribe This Channel .........
Video Shoot By Extra Pictures Under Zanzibar Qaswida
Contacts : +255626966000 | zanzibarqaswida@gmail.com
Zanzibar Qaswida Booking Info :
WhatsApp/Call : +255626966000
Email : zanzibarqaswida@gmail.com
Catch Up With Zanzibar Qaswida (Owner)
https://www.instagram.com/comextz/https://www.facebook.com/comexstarhttps://twitter.com/ComexTz
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 126
@
@firdhoushassan1136منذ 3 سنواتMarshall Allah ,,,,May Allah continue to guide you guys on the straight path 1
@
@shamimujumanne5267منذ 4 سنواتUislamu sasahv sijui kwann hauna nguvu kama zamani ,kwakweli dini yetu inaelekea pabaya M/mungu tunusuru na haya subhanallah 18
@
@halimarahay8851منذ 2 سنواتmanshaalah mungu akuzidishiye kaka zangu
@
@teacherney6651منذ 4 سنواتHao Arrijalu qawwaamuun subhanallah rudini kwa Allah ndugu zangu 3
@nooraallahuakibarumwenyeez3079منذ 4 سنواتYani ukistaajabu ya musa utaona ya friaun jamani ulimi hauna mfupa nimecheka kwa vitukovyenu mapenzi ni uwendawazimu ila tujitahidini kumuogopa Allah tusiutukanishe uwiislam wetu 3
@munamuna7488منذ 3 سنواتMhhhhhhh kaswida mhhhhhhh walllah atuepushe na ibilisi 1
@
@muniraomar3704منذ 4 سنواتHapa mwisho dawa ni umpate umpendae ndiyo dawa yke hakuna daktari Wala mganga hapo 3
@
@saidseleman6004منذ 3 سنواتKwahiyo siku hzi tarabu imekuwa ruksa ktk dini 2
@
@zulfatdidas369منذ 4 سنواتAllah awaongoze Kwakwel Co Kwa mixer hyo 4
@
@nasmamaulidy501منذ 2 سنواتMashaallah Allah awape umri mrefu muendelee hivohivo ndugu zangu
@
@idrisabakar8862منذ 3 سنواتtafuteni kazi wana ume wazima mna kata viuno je hao ndgu zenu wafanye nn duu hatar sna 3
@
@trackingboss7109العام الماضيPlease let us a little more information about your company Lucas and senzo is saying they closed the
@
@mudathirylove3280منذ 4 سنواتmbn hawasemi kweny mziki wa bongo fleva wanaona hapo2 wanafki hao, wanaswahibu mpo vzr sana mashallah tupe dawa 2
@
@mohamedmussa5200منذ 2 سنواتHii kazi ya shetani aliyevaa vazi la Uislam ili kuwahadaa waislam. Kwanza ni mziki, halafu mbaya zaidi wanawake wananengua mbele ya wanaume na wameridhika id="hidden2" class="buttons"> na mijianaume menzangu pia imeridhika. Ni mafundisho ya Mtume gani? Hakika huu ni ujahili. Hakuna tofauti na umiss. ....وسعت
@
@yurathawamb129منذ 4 سنواتHaya hayapo ktk uislam ni matamanio yetu tu tamaa za kunipenda dunia zimetushika Allah atunusuru na mengineyo. 6
@
@rashidilimboa7534منذ 3 سنواتNimepnda kazi zenu ndgu zangu nazipataje CD nawapi zinapatikana
@
@noelariki3618منذ 4 سنواتMnauharibu uislam, wanaume mnacheza hivyo pia mnachangamana na wanawake kweli ndo uislam gani huo 7
@
@ahmadabdalla619منذ 4 سنواتSubhanallh hakuna hishma ya kanzu hapo 2
@
@mamamuu8217منذ 3 سنواتUyo alojifunika heeeee aomba balaa Tu
@
@rashidhaji8325منذ 3 سنواتHaina utofauti na tarabu na bongofleva
@
@mudathirylove3280منذ 4 سنواتWatu wanawivu wa maendeleo2 wanaswahibu mpo vzr hao wanaoponda wanajifanya wanajua sana dini 2
@
@munamuna7488منذ 3 سنواتVigodoro vya akili kwa akili mtihani mmmhhhhhhh mmmmhhhhhhhhh wanaume ndani ya mauno mhhhhh mtihani yàraaabi tuepusheee 2
@
@nooraallahuakibarumwenyeez3079منذ 4 سنواتDawa ya mahaba nikumpata mahabubi hhhhh 1
@
@princessafrash8757منذ 4 سنواتSijaona tofauti ya mziki, taarabu, na hizi qaswda za sikuhizi jamani mtume ameapa vikali juu ya kila bidaa hakika kila bidaa ndogo na kubwa mwisho wke id="hidden3" class="buttons"> Ni motoni (wakulla bid'at dhwalala fii nnar) hakika wallah waislam tunapotea ya Rahman tupe Iman ilo ya kweli tumevaa vaz za kiislam lkn nyoyon Imani za uyakini hatuna subhanallah ....وسعت4
@
@keyhassan2050منذ 4 سنواتNimoto wa kuakiaaaa Burdani kwakweli Cheka pekeangu
Hongereni kwa kazi nzurii 1
@
@mohamedmussa5200منذ 2 سنواتWaislam tulikofikia sio pazuri. Hivi hawa hawajui kuwa wanafanya makosa kupiga mziki? Mbaya zaidi wanawake wananengua mbele yao na wanawake wamejiachia! id="hidden4" class="buttons"> Hivi wao wanasoma kitabu gani na wanamfuata Mtume yupi? Au ni kiburi tu? ....وسعت
@
@tamemahmad9902منذ 4 سنواتHii Qasda au nyimbo jamani maulid tunayaharibu 4
@
@safiambaroukkhamis439منذ 4 سنواتMupo Pemba au unguja jamani naombaaa mimi
@
@sleyumomar3637منذ 3 سنواتMnapatikana wapi, unguja au pemba,, naomba mnijibu
@
@yasirfakih3365منذ 4 سنواتAsant kikongoz wangu abuu wewe fund by honest 1
@
@saidbinbakar9725منذ 4 سنواتwana Swahibu kitu kimoja niwashauri. mitindo yenu ya uvaaji kofia mkaziachia bila kukunja baadhi yenu inaleta maana nyengine kwa sababu kila kitu kina id="hidden5" class="buttons"> maan yake unapo vaa kofia ukaiachia hivo inaleta taswira mbaya mjirekebishe. ....وسعت
@
@mohamedmussa5200منذ 2 سنواتHii kazi ya shetani aliyevaa vazi la Uislam ili kuwahadaa waislam. Kwanza ni mziki, halafu mbaya zaidi wanawake wananengua mbele ya wanaume na wameridhika id="hidden7" class="buttons"> na mijianaume menzangu pia imeridhika. Ni mafundisho ya Mtume gani? Hakika huu ni ujahili. Hakuna tofauti na umiss. ....وسعت
@
@princessafrash8757منذ 4 سنواتSijaona tofauti ya mziki, taarabu, na hizi qaswda za sikuhizi jamani mtume ameapa vikali juu ya kila bidaa hakika kila bidaa ndogo na kubwa mwisho wke id="hidden8" class="buttons"> Ni motoni (wakulla bid'at dhwalala fii nnar) hakika wallah waislam tunapotea ya Rahman tupe Iman ilo ya kweli tumevaa vaz za kiislam lkn nyoyon Imani za uyakini hatuna subhanallah ....وسعت4
@
@mohamedmussa5200منذ 2 سنواتWaislam tulikofikia sio pazuri. Hivi hawa hawajui kuwa wanafanya makosa kupiga mziki? Mbaya zaidi wanawake wananengua mbele yao na wanawake wamejiachia! id="hidden9" class="buttons"> Hivi wao wanasoma kitabu gani na wanamfuata Mtume yupi? Au ni kiburi tu? ....وسعت
@
@saidbinbakar9725منذ 4 سنواتwana Swahibu kitu kimoja niwashauri. mitindo yenu ya uvaaji kofia mkaziachia bila kukunja baadhi yenu inaleta maana nyengine kwa sababu kila kitu kina id="hidden10" class="buttons"> maan yake unapo vaa kofia ukaiachia hivo inaleta taswira mbaya mjirekebishe. ....وسعت
مقاطع الفيديو ذات الصلة على WANA SWAHIBU NI HATARI SANA | DAKTARI NIPE DAWA KAMA KUNA MGANGA WA KUTIBU MARADHI HAYA NAUMWA:
Burdani kwakweli
Cheka pekeangu
Hongereni kwa kazi nzurii 1