المدة الزمنية 2:58

Familia moja Nakuru yalilia haki baada ya jamaa yao kufariki punde baada ya kuachiliwa na polisi

بواسطة Citizen TV Kenya
26 253 مشاهدة
0
146
تم نشره في 2021/04/22

Idara ya polisi mjini Nakuru imetiwa lawamani na familia ya mtu mmoja aliyefariki punde alipoachiliwa na kufikishwa hospitalini na maafisa wa polisi kwa matibabu. Mtu huyo alikuwa amezuiliwa na polisi kwa kukiuka kuvalia maski alipokuwa katika shughuli zake mapema mwezi huu. Upasuaji wa maiti umeonyesha kuwa Peter Kamau alikuwa na jeraha lililosababishwa na silaha butu.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 99