المدة الزمنية 11:41

Tazama furusa Kwenye kilimo Cha zao la Nanasi ( Video)

بواسطة AsiliGrowers
1 855 مشاهدة
0
46
تم نشره في 2021/04/18

Team ya watayarishaji wa kipindi cha Kilimo chenye tija kutoka ASILI TV walifika kwenye mashamba ya LIZDE COMPANY LIMITED Kiwangwa Bagamoyo ambayo wanazalisha mazao mabali mbali na zao kuu likiwa ni Nanasi ambapo Mtangazaji wetu Mohamed Gojo #Gojo_xgzoo alipiga story n meneja wa shamba Bi Aloyce Mashaja na Mkurugenzi Msaidizi Elisifa Sanka kuhusu furusa zilizopo kwenye zao la Nanasi mafanikio na changamoto Usikose kufuatilia mfululizo wa makala zingine kutoka Lizde company #Lizdecompany #xgzoo #ASILITV

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 17