Mh.ndugai amewatahadharisha wabunge wa viti maalumu kutoropoka ropoka kwenye mitandao ya kijamii kuzua mambo yasio ya kweli pia amewataka wabunge kurudisha vifaa vyote walivyo agizwa kurudisha bila shuruti. #Global online tv, #Millard Ayo, #Bright Side,#SoMo Online tv.
SHUKRAN AZAM TV ON BEHALF.
USISAHAU KUBOFYA KITUFE CHEKUNDU KILICHO ANDIKWA SUBSCRIBE ILI UWE WA KWANZA KUPATA VIDEO ZETU.