المدة الزمنية 30:23

MGANGA WA KIENYEJI ALIYEKALIA KITI CHA URAIS | ALITUPWA SOKONI | UKWELI WA MAISHA YA JOMO KENYATTA.

بواسطة MTIGA ABDALLAH
93 647 مشاهدة
0
1.1 K
تم نشره في 2020/12/04

Leo hii kenyatta hayupo lakini kenya itaendelea kuwepo,kenyatta alitenda mengi mazuri na mabaya. Wapo wanaoamini hadi kesho kwamba kenyatta aliwasaliti wale wote waliopigania uhuru kwa kitendo Cha kuwapokonya mashamba yao. Wengine wanasema kuwa "huyu mzee alikuwa mwizi na mwanzilishi wa ukabila kenya,kwa hiyo azidi kuchomeka pole pole huko alipo". Kuna wengine wamemchukia kenyatta Hadi kusema kuwa "alipozaliwa alitupwa sokoni na kuokotwa na bibi kutoka katika kabila la wakikuyu na kumlea. Wengine wamefika mbali zaidi Hadi kumuita baba wa corruption afrika mashariki,wengine wanasema "kenyatta ndiye aliyepanda mbegu mbaya inayosokota tumbo la kenya kwa rushwa na ukabila. Lakini wapo wanaoutambua mchango wake katika Ujenzi wa taifa la kenya na ndio hao wamempa Kenyatta zawadi ya urais mtoto wake Uhuru Kenyatta Hivyo kuwepo kwa Kenyatta ikulu ni ujumbe kwamba mzee Jomo Kenyatta amerudi kurekebisha pale alipoteleza Afrika mzee siku zote hakosei huwa anateleza tu,kazi kwako Uhuru ukiharibu utawakwanza Wakenya na kumhudhunisha Sana baba yako. Mwandishi: Denis Mpagaze -------------------------------------------------------------------------------------------- Instagram: https://www.instagram.com/mtigaabdallah_/ Facebook: https://www.facebook.com/mtiga.co.tz Website: https://mtiga.co.tz/ -------------------------------------------------------------------------------------------- #Newchapter #mtigaabdallah #storyteller

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 216