المدة الزمنية 1:28

Ujumbe wa Katibu Mkuu juu ya Siku ya Tamaduni na tofauti Duniani.

بواسطة UNIC Dar es Salaam
102 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/05/24

Mei 21 ni Siku ya Tamaduni na tofauti Duniani. “Utamaduni ni maua ya mwanadamu - matunda ya akili zetu, zao la mila zetu, kielelezo cha shauku zetu. Utofauti wake ni wa kushangaza, sehemu ya utepe tajiri wa ustaarabu.” @antonioguterres #UNTZ #unicdaressalaam #culturaldiversity

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0