المدة الزمنية 12:23

Mazoezi yanayokuza KALIO haraka | Glutes workout

بواسطة Joan Fitness TV
7 107 مشاهدة
0
107
تم نشره في 2021/11/07

Mazoezi ya kuongeza makalio na hips yanapoambatanishwa na vyakula vingi vya protein huleta matokeo mazuri sana mfano samaki, nyama, maharage, maziwa, mayai, broccoli n.k pia kula korosho, karanga mbichi, peanutbutter kwa kiasi kikubwa, Nakupenda sana nataka ufanikiwe kwa kiasi chako pia 😘

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 21