المدة الزمنية 1:34

Rais Samia awasili Maputo nchini Msumbiji

بواسطة MICHUZI TV
5 811 مشاهدة
0
13
تم نشره في 2021/06/22

#MichuziHabari #MichuziTV #KaziIendelee Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC utakaofanyika kesho tarehe 23 Juni, 2021. KWA HABARI MBALIMBALI TEMBELEA: http://issamichuzi.blogspot.com http://mtaakwamtaa.co.tz http://michuzijr.blogspot.com INSTAGRAM: https://www.instagram.com/michuzitv_255/ TWITTER: https://twitter.com/MichuziBlog JE, UNA HABARI? TUTUMIEA KWA EMAIL HII ( michuzitv@gmail.com) Subscribe MICHUZI TV: /channel/UC6unnWmNahzSEGbRLleGQLQ

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 22