المدة الزمنية 5:29

HATIMAYE KANISA LA UINJILIST TANZANIA LAFANYA UCHAGUZI BAADA YA KUKUMBWA NA VIONGOZI WA BADHILIFU.

بواسطة Big Star Tv Online
209 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/06/26

Kanisa la Uinjilist Tanzania limefanya uchaguzi wa viongozi wa Kanisa hilo baada ya kukaa zaidi ya mwaka mmoja chini ya uongozi wa mpito ambao ulipatikana baada ya kutolewa kwa viongozi wa kanisa hilo walio tuhumiwa katika ubadhilifu wa fedha zaidi ya millioni 100. Uchaguizi huo ulio fanyika Katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mbalizi walio chaguliwa ni Mwenyekiti wa Kanisa Mchungaji Meshack Job, makamu mwenyekiti Samson Nyondo, Katibu mkuu Jackob Mwakasole walezi waili na wajumbe kumi. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA BIG STAR TV ( +255 623 715536), ( +255 718 613054) ⚫️ Email: info@bigstarfm.co.tz ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ THE KICK NA ADVERA MABIKI : ⚫️ Subscribe Big Star TV

الفئة

الكلمات

عرض المزيد

تعليقات - 0