المدة الزمنية 9:3

MBUNGE ALIYELIMWA BARUA 30 NA CUF AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUTUA ACT WAZALENDO

بواسطة HABARIMPYA TV
19 902 مشاهدة
0
82
تم نشره في 2020/06/21

Mbunge wa Bunge la Jamhuru ya Muungano wa Tanzania aliyemaliza muda wake kutoka jimbo la Konde, Pemba kwa tiketi ya CUF Khatibu Said Haji amesema kwa kipindi kirefu kiumbo alikua chama cha CUF ila roho yake ilikua ACT Wazalendo. "Nilikuwa Cuf kiumbo tu ila roho yangu ilikuwa chama cha ACT Wazalendo na awali Niliandikiwa barua zaidi ya 30 ili nitii kile wanachotaka wao na kama nisingefanya hivyo ningefukuzwa uanachama'' Khatibu Haji.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 48