المدة الزمنية 10:32

Siku hatari za mwanamke kushika mimba

بواسطة FAFANUO MEDIA
149 575 مشاهدة
0
1.4 K
تم نشره في 2020/07/23

#tujengemahusiano

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 76
  • @
    @swidathswaleh9442منذ 3 سنوات Tushriki tendo mara ngp kwny sku za htr 6
  • @
    @lailatjuma6562العام الماضي Mm naomb kuulza ukishirik mfno kama leo asubuh yake ujahisi maumiv upande kushot mfno wa kichomi inakuaje 2
  • @
    @mustaphaamiri7849قبل 4 أشهر Ata mimi nikimaliza kufanya mapenz mbegu zinatoka nyingi 1
  • @
    @mwanakhamissaid716منذ 2 سنوات Mm nko n mimba ya 7wks n nahis kiungulia na matiti yamevimba n mate kujaa mdomon cjihis vizuri yaani naskia kuchoka mwili mzito shida nn 1
  • @
    @mwanaidiwalii1319منذ 2 سنوات Mm nimeingia period tareh 8/2/2021 then nikafanyaaa tend la ndoa tarehe 28/2 je nauwezekan wa kupataaa mimba@
  • @
    @esthergaspar2824قبل 5 أشهر hello doctor me nilingia p tarh 31 nimend siku tan sk y sab nikashilik tend nitakuw sw
  • @
    @user-oo4hb6lv8mقبل 4 أشهر Doctor mm naingia priodi 6, 7, 8,je nilkifanya mapenzi siku ya tatu naweza kupata mimba
  • @
    @dorahmassawe2235منذ 3 سنوات Kama unaenda siku saba adi siku nane uwo nimzunguko utakuwa wasiku ngapi 7
  • @
    @user-sh3ps2ug7dقبل 10 أشهر Mm naingia tarehe 28 je tareh za kubeba mimba nizip
  • @
    @lucymwaipungu8931العام الماضي doktya mimi nimeanza skuzaku zaheth leo tale 2/3 skuzangu zahatyali nizipi
  • @
    @BhokeKambarageقبل 4 أشهر Hivi ni kwann ukishiriki kwenye tendon la ndoa unakaa ndani ya dakika 2 hivi hizo mbegu za kiume zinatoka nje na Huwa ni nyepesi sana
  • @
    @philomenajames3266منذ 3 سنوات Sante kwa somo hili lkn kuna wengine tarehe zao ni za kuyumbayumba
  • @
    @JuliaNsanze-un8ysقبل 5 أشهر Mimi tarehe zangu haziereweki naingea p siku 5 naweka siku 5 Tena zinakua kumi harafu naweka siku 8 zahatari sijawahi kupata mimba huu ni mwaka wanane sijawahipata mimba
  • @
    @adozabron9683منذ 3 سنوات Ukishiriki tendo la ndoa ukiwa siku ya kumaliza siku zako mtu anaweza kupata mimba 3
  • @
    @humphreyisaya6003منذ 3 سنوات Jaman kabla mwanamke hajahaza kutokwa na damu sikutatu mbele alafu akahaza kutokwa na hedh hapo anaweza akawa na mimba 6
  • @
    @marymhinda8432منذ 2 سنوات Na wenye mznguko wa siku 38 siku ya hatari ni ip??
  • @
    @rosebonny9700منذ 2 سنوات Jmn mm nimeanza kuona siku zangu tare 4 na tano na sita nikamaliza siku tatu tu na kaa sikungapi ndo nibebe mimba maana sijakutanane mpaka sasa
  • @
    @juniojackson1406منذ 2 سنوات nimeanza 26 nmemaliza period tare 31 sikuzang za hatati zip
  • @
    @leahzabron-1450العام الماضي Mambow, mm na swali siku ya hatar unatakiwa KUFANYA mara ngp ndo mimba iingie
  • @
    @wemazai8358منذ 2 سنوات Hz sik unahesabu vip kwamb mzunguko ulivyo
  • @
    @yusrakhamis6758منذ 2 سنوات Je unaanz kuhisabu sikuyakutok hedhi au kuingia
  • @
    @rassoosidi7388قبل 9 أشهر Mimi nilisex jana n MTU wangu je naez pata ujauzito juu nilinyesha 29 mpka date 5 n sikuonana n yy mpka jana je naeza pata ujauzito bt nilikunywa p2 1
  • @
    @anastasiabenjamin2473قبل 10 أشهر Naomba kuhuliza Kama mwanamke hukiwa humeshika mimba alafu hukashiliki mapenzi na mwanaume hambae mbegu zake niafifu he mimba hinaweza kutoka
  • @
    @user-dw7ou2ir9zقبل 4 أشهر Kama akiingia siku tatu inamaana siku ya hatali utaanza kuhesabu siku ya nne au
  • @
    @neemandoghwe8875منذ 2 سنوات nimemaliza period tarehe 18 nikaja kusex tarehe 8 je naweza kupata mimba
  • @
    @mwajumamustapha3436منذ 2 سنوات Samahan mm nime kutan na mr siku za hatal hala baad ya wiki mbil nilikua nikion dalili zamimb halaf napiam najikut sin
  • @
    @eliangalla8902منذ 2 سنوات Tarehe9-hadi11siku gani au tarehe ipi in hatali yaani kuna uwezekano wa kupata ujauzito?
  • @
    @marymercimutua9502منذ 3 سنوات Na period ikija like 4 day's,then iruke 2 days, ikuje tena like 1 day or 2 days,iyo uwa mtu ako kwa hatari?
  • @
    @najmavuai7428منذ 2 سنوات Hizi sik za kurud rudi nyuma inakuwanje
  • @
    @gracekibena1638منذ 2 سنوات Kuna wengine wanasema siku za hatar ni sik tano kabla ya damu na siku tano baadae ya damu, ni kweli doctor 9
  • @
    @eliangalla8902منذ 2 سنوات Tarehe 9 hadi 11 ndo anaenda mwezinii siku hatari ni ipi ambayo anaweza kupata ujauzito
  • @
    @martharhobi4563قبل 9 أشهر mm ninaona siku za talehe 21 ninaomba nijuwe siku ya kushika mimba
  • @
    @rehemaseleman-gb7rgالعام الماضي Docter mie niliingia kwenye hedhi tarh 8 .siku zahatar nikasexy siku ya 18,19,20,23,je nitakua Niko sawa? Sijakosea? 6
  • @
    @janethdonart584منذ 2 سنوات Nataka kuuliza mm nikmalzaga kufanya tendo znapta kama dk2 unaona shahawa znatoka nying2 kwann nahpo naweza kupata ujauzto 10
  • @
    @emmyclaud7741منذ 2 سنوات Nimeingia period tar 26/01/ had tar 29/01/ afu huu mwez unaixhia 31 pia nkashiriki tendo LA ndoa 03/02/ naweza kupata mimba 1
  • @
    @huqmannchimbi5296منذ 3 سنوات kama mwanamke mwenye? siku 37 inakuwaje
  • @
    @sakinamasudi9023منذ 3 سنوات Samahani doctor mikila ikifika tarehe 15 lazima niingie kwenye siku zangu naninafanya kama unavyo elekeza ila sijapata mimba naomba unisaidie 1
  • @
    @PauloFrank-kj6xqقبل 11 أشهر Je nikilala nayetarehe 6 mpaka 10 arafu tarehe 11 anaweza kupata ujauzito 1
  • @
    @sultanbadran2522منذ 2 سنوات ukitoka siku ya periad ambazo mwanamke anaingia siku 4 siku ngapi mbeleni ukiingia tendo la ndoa zinakua ni salama? 3
  • @
    @dinnahjumanne200منذ 2 سنوات Naomba kuuĺza siku ya kumi siwezi pata ujauzito
  • @
    @omaribenjamin-965العام الماضي Hizi Tareh 26 mpaka 30 hapo siku ya hatal n siku gan
  • @
    @shamsachuga3681منذ 2 سنوات Je kwamfano nikifanya mapenzi wakati nimetoka tu kwenye mzunguko tabeba mimba 2
  • @
    @agneskivike9582منذ 3 سنوات Hizo siku 2 ambazo unatakiwa kuzitoa kabla ya siku za hatari ni ipi na ipi 2
  • @
    @mapenzimumbere5946منذ 3 سنوات Tushiriki tendo maragapi Siku yahatari ili mimba udaki 4
  • @
    @everlyneiminza5722منذ 3 سنوات 35 kwani kuna mwezi unaopitiliza adi 37 2
  • @
    @amediuskipera4833منذ 4 سنوات Somo muhimu sana kwa wanandoa!
    Kwa makala mbalimbali za mambo yenye mafunzo na ya kusisimua, bonyeza chaneli hii ya Dunia Duara. Thank me later!
    8
  • @
    @happymangia7676منذ 2 سنوات MIMI NIMEONA PERIOD TAREHE 13 MWEZI WA 8 NKAMALIZ TAREH 16 NKALALA NA MWANAUME TAREH 3 NA 4 JE NAWEZA KUPATA MIMBA
  • @
    @hamissinyambereالعام الماضي Na mimi tare zang kuw zinabadirik san nafany
  • @
    @RehemaJuma-lx2qoقبل 9 أشهر Nmetoka hedhi halafu nkafanya mapenzi siku ya 8 je naweza pata ujauzito
  • @
    @takyatupu6839منذ 3 سنوات Hello doctor mimi nimepata damu tarehe 22 mpaka tarehe 27 nikafanya sex tarehe 3 mpaka tarehe 5 hp ikoje nasubiri damu yangu tarehe 15 lakini nakojoa sana maziwa yameja kwa mbali vp hp ikoje doctor