المدة الزمنية 6:10

Vuta nikuvute Halima Mdee na Polisi Kawe.

بواسطة ITV Tanzania
252 446 مشاهدة
0
667
تم نشره في 2020/10/28

#Uchaguzi2020 #Kawe Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kawe Mhe.Halima Mdee, amekamatwa na jeshi la polisi kwa madai kwamba ameingilia zoezi la uchaguzi, baada ya kudai kuna mabegi ya kura feki yanayoingizwa kituoni hapo. Hapa ni sehemu ya mzozo wa Halima Mdee na polisi.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 819
  • @
    @chazbhai9268منذ 4 سنوات Usikate tamaa dadaetyu mungu atupe uzima one day tutashinda
  • @
    @bjzee1981منذ 4 سنوات Mwenyezi Mungu amuadhibu kilawenye kudhulumu
  • @
    @mwalongojulius1755منذ 4 سنوات Mungu amlipe sawasawa na matendo yake aliyeamuru mitandao kuzimwa kama siyo sasa badae kama siyo badae kesho kama siyo kesho week mwezi mwaka afedheeshe kama alivyo tufanyia yeye na walimtuma kama mungu aishivyo amen.
  • @
    @selemanmuhidin2112منذ 4 سنوات Dar,uchaguzi gani huu mungu tusaidie upite salama
  • @
    @veronicapaulo2233منذ 4 سنوات Pole kwawale ambao wanadhani hawakupata haki yao.
    Ila mimi nafikiri kwamba njia sahihi ilikuwa wananchi kugoma kupiga kura kama walihisi tu kunaudanganyifu id="hidden2" class="buttons"> umefanyika na kuingiza mabegi yenye kura ambazo hazikuwa halali.
    ....وسعت
  • @
    @karanibonge5906منذ 4 سنوات Alafu Kulikua na wangalizi WA kimataifa Ila walisema uchaguzi ulikua huru na haki chakushukuru mungu yupo na anaona pia kunamaisha baada ya uchaguzi tuchapeni kazi
  • @
    @israeleliah7163منذ 4 سنوات Daaaaah ndy mme shinda kwa kishindo hvy 3
  • @
    @mgessykishiwa2666منذ 4 سنوات Mungu ataleta heshima yetu tu karibu sana
  • @
    @alicemzaza8460منذ 4 سنوات Cyo haki kabisa uchanguzi wa Mwaka cji kupiga kura tena cyo kabisa lakn mungu ni mwema atatusaidia cku atajibu maombi yetu
  • @
    @reaper5534منذ 4 سنوات Mungu ANAWAONA. HASIRA YA MUNGU NI KALI MNO KULIKO MNAVYOFIKIRIA. 9
  • @
    @mabenatv8554منذ 4 سنوات Halafu mshindi gwajima mtumishi wa mungu
  • @
    @halimaalsaad5469منذ 4 سنوات Uongozi mmeukuta namtauwacha kwakwelisiwezi pigakura maisha yangu yote
  • @
    @baba5tv63منذ 4 سنوات Yan ccm kama mnajiamin kua mnapendwa kwann mnawatesa wapinzani 2
  • @
    @georgezablon3522منذ 4 سنوات Hatukuwa na uchaguzi ss, ila waacheni tu hao ccm 2
  • @
    @simbarajabu4157منذ 4 سنوات Ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wanafuraisha sana hawa
  • @
    @amenatanzania3148منذ 4 سنوات Kweli nimeamini mungu analipa hapahapa duniani
  • @
    @simbarajabu4157منذ 4 سنوات Nashangaa sana kumbe mmeshazoea kuwatisha watu safari akuna tupa kule sauti ya zege
  • @
    @masaielia2076منذ 4 سنوات Serkali mnatangaz Aman huku mmeficha mapanga iko wapi Aman yetu Tanzania 43
  • @
    @shizoshop2469منذ 4 سنوات Siku mungu akinijalia kukutana na gwajima nitamuonyesha hii clip harafu nitamuuliza unauzungumziaje ushindi wako ?
  • @
    @barakakimaro2394منذ 4 سنوات Duh wananchii wanakomaa kweli huo ndo umoja
  • @
    @emmanuelben456منذ 4 سنوات Kidumu chama cha mapinduzi kidumu chama tawala. Yeah
  • @
    @ericklibaba1198منذ 4 سنوات Itoshe kusema Huu ndio uchaguzi wa hovyo toka Tanzania ijipambanue Kama nchi Huru. Na Africa Mashariki kwa ujumla. Daaaaah INAUMIZA Sana aseee 2
  • @
    @thomasraiton7760منذ 4 سنوات Mchungaji gani askofu gani anakubali kirahisi kujihusisha na siasa wakati anajua siasa ni ufisadi uuaji uongo na mengine mengi ikiwemo uchawi na ushirikina?
  • @
    @manassehjoseph3438منذ 4 سنوات Daah hii ndo Tanzania nchi ya amani mh God bless us!
  • @
    @rashidngwawile9062منذ 4 سنوات Haibu Sana hii Kama wao ndo washindi sa kwa nn waibe kura
  • @
    @fredichaki4868منذ 4 سنوات Majizi ya Kula Yana julikana tu yani adi haibu ovyo
  • @
    @dani72130منذ 4 سنوات siku hizi mabegi yanabebea kura, ni mabadiliko makubwa haya, hongera gwajima kwa ushindi
  • @
    @salemaltameem8845منذ 4 سنوات Wao hawapigani mabomu vo. wanatuuwa sisi tu wapemba.
  • @
    @africanheroestz-acapella2458منذ 4 سنوات Arusha yetu iko shwari sana tumeshampiga mtu chini sasa hv tunaendelea na maisha
  • @
    @issaally7928منذ 4 سنوات Akuna namna zaidi ya kutorewa na jeshitu
  • @
    @jenifamligo5199منذ 4 سنوات Halima nakukubali sana lakn ndo ivyo daah 1
  • @
    @bjzee1981منذ 4 سنوات Mungu afanye haki hapa hata kama nikumchukua anae dhulumu
  • @
    @nestor384منذ 4 سنوات Uchaguzi wa ulioharibika kuliko chaguzi zote zilizowahi kuwako huko nyuma. 16
  • @
    @valenakomba4453منذ 4 سنوات Hata hiyo siasa YENYEWE ikiwa ndo hivi si bola ueche tuu. Maana unataka sana kujulikana. Ukifa ya vizuri SIFA zitakuja zenyewe, hutakiwi kulazimisha.
  • @
    @afandehassan1منذ 4 سنوات Police force keep law and order please 4
  • @
    @augustinejoseph8957منذ 4 سنوات Ccm ilikua ya zaman kwasasa ni cc wehu
  • @
    @izooozist6819منذ 4 سنوات Hii nchi tutaishi ngizani paka lini.utawala mbaya zaidi.
  • @
    @ibrahimbakar622منذ 4 سنوات Uchaguzi huu wa Tz ni ovyo kuliko chaguzi zote
  • @
    @buyukubwa9713منذ 4 سنوات Kuna nini hapo mbona sielewi maana kelele tu
  • @
    @kiandangulwi3546منذ 4 سنوات Tutende haki itapendeza otherwise sijui
  • @
    @aminaprincess9873منذ 4 سنوات Itv rudisha taarifa tuone kawe kuna nini
  • @
    @paschalkasapa3249منذ 4 سنوات Duuh hata mtumishi wa Mungu anatumia ushindi wa bao la mkono hii inasikitisha san
  • @
    @munaahmed8499منذ 4 سنوات Halima mdee shida sana kubali tu umestaafu ulichovuna bungen kinatosha ndgu yng
  • @
    @erickmageta504منذ 4 سنوات Nimemkumbuka sana Makonda.Makonda ni kiongozi ni Mtawala na mbunifu wa kutatua. 2
  • @
    @abelianraphili5150منذ 4 سنوات Kumbe ndo maana mtandao ulifungwa ili hii tusione
  • @
    @wadeelegbogun3015منذ 4 سنوات Mwaka huu bangi zenu zitawaaisha ni aibu sanaaa. 1
  • @
    @amosgerald7763منذ 4 سنوات Yaan nyie polic wasenge kuharibu uchaguz
  • @
    @joymsupagladysijeya8384منذ 4 سنوات Lakini sio poa kunimbia halima kura nampenda uyu mama anajituma sana
  • @
    @swahilientertainmentworld4266منذ 4 سنوات Hakuna haja ya kupiga kura TZ imeharibika
  • @
    @karanibonge5906منذ 4 سنوات Leo ndio mnaweka Hii Habari wakati uchaguzi umeshapata nyinyi waandishi hampo fear Kweli 1
  • @
    @ericklibaba1198منذ 4 سنوات Wapinzani wanaonewa Sana Tanzania kwa kiwango cha juu. 11
  • @
    @jumajuxmaboneti7884منذ 4 سنوات Tunaomb msiiuwe Watu Tena Nishapotez Kaka Angu Juz 2 Kwwny Huu Uchanguz Nyie mungu anawaona
  • @
    @chescomolla5557منذ 4 سنوات Eti mtumishi wa Mungu , Mungu gani anaebariki wizi wa wazi Kama huu , napata mashaka Sana na wakristo wanaoongozwa huyu kibaka. Nimeamini hata Yale yaliyokuwa id="hidden5" class="buttons"> yakizungumzwa juu ya ulaji wa kondoo Ni ya kweli. Duh askofu kwanini umejichafua hivi. ....وسعت
  • @
    @mwanaidiharoun9491منذ 4 سنوات Pole kapumzike mama kwa kweli tulikuchoka ila basis tuu mikocheni ujafanya lolote nenda bhaana bora kawe irudi chama tawala duu 1
  • @
    @wisemangodfrey921منذ 4 سنوات Hivi huwa wanaililiaga hii nchi au wanaliliaga nafasi zao na status
  • @
    @esterrhobi2824منذ 4 سنوات Uchochezi tu wakati hata kura hujapiga
  • @
    @zalkiabendera7238منذ 4 سنوات Ila kunawatu wakijiona wanarkodiwa wanapaza saut
  • @
    @frankd1156منذ 4 سنوات Umaskini mbaya sana.hawa polis njaa msiwalaumu sana
  • @
    @mussabulugu6319منذ 4 سنوات Mnashabikia kitu hujaona ndo mnaanza kutengeneza drama kwamba wameiba kura kumbe ndo umeshindwa watu wamekuchoka huna hata maendeleo jimbon kaz kususa tu 1
  • @
    @abcdabcd1605منذ 4 سنوات Dah dhulma waziwazi awa ccm cjui mpaka lini izi tabia 1
  • @
    @mzalendomzalendo2567منذ 4 سنوات Anajua hata shinda ndio maana analeta vurugu, 1
  • @
    @guccijackson3055منذ 4 سنوات Nchi hii nna watu wake
    Ngoja nitafute hela ni hame
  • @
    @emmanuelkonki59منذ 4 سنوات magufuli haki iko wapi cnhi inachafuka
  • @
    @m.mmarckus6298منذ 4 سنوات Jimbo la kawe kila mwaka nasubiri tu atakayepita ndombunge wangu.staki kumchukia mtu nawakat mm pia sijui km napendwa siasa pia siiwezi niko busy kupambania maisha yangu ....وسعت 13
  • @
    @mohamedmzeeassuufiyy1334منذ 4 سنوات Mimi nimekuzwa na Ccm lkn Chaguzi hii imenitia kichefu chefu
  • @
    @pastorjamesmajaliwa7843منذ 4 سنوات Daaaa serikali hiiiii
    Ndio maana mm siitaji kuwa mwenye chama chochote yanayo endelea ni upumbavu ambayo tujawai ona leo tunayaona
  • @
    @wallaceigeoge7515منذ 4 سنوات Itabaki story ukiona manyoya ujue kimeriwa
  • @
    @karolikisaka8991منذ 4 سنوات Waliwaandaa viongozi wa dini kutufitini
    Huu ni uhuni
    Hakuna amani pasipo haki
    23
  • @
    @tztanzania2262منذ 4 سنوات Tukio la kwanza uchaguzi serikali za mitaa
    Tukio la pili uchaguzi mkuu 2020
    Hakuna chaguzi za ajabu kama hizi mbili zote ktk awamu ya ngosha
  • @
    @bebebebe5677منذ 4 سنوات Mi nataman nijue matokeo ya jimbo la kawe 1
  • @
    @mzeejombi8047منذ 4 سنوات Dah msilalamike wananchi huu ndk uchaguz huru na wahakki
  • @
    @mariasalomemelchiorkaigaru1974منذ 4 سنوات Haya mambo ni Nchi zetu tu ndio yanatokea
  • @
    @zainabumwagiroabdallamwagi97منذ 4 سنوات Chaguo la wananchi limebadilishwa.tanzagiza