المدة الزمنية 6:12

ALICHOKISEMA TUNDU LISSU MAHAKAMANI KUHUSU KESI YA URAIS TLS

بواسطة Global TV Online
100 806 مشاهدة
0
362
تم نشره في 2017/03/13

Mbunge wa Singida Mashariki ana Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, amefunguka mambo mbalimbali kuhusu kesi ya kuzuiwa kugombea urais, iliyofunguliwa na mwanasheria Wasonga, akipinga kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 51
  • @
    @octavianijoseph403منذ 7 سنوات big up xana tundu lisu unajitaidi hongera mwanasheria wetu 1
  • @
    @justinemgomi9561منذ 7 سنوات asante Lissu na imani na wewe rudisha utawala wa sheria 2
  • @
    @arodnjenje7633منذ 7 سنوات Nakuelewaga sana coz unajua unachokifanya 1
  • @
    @jamesmgasa4012منذ 7 سنوات Mimi lisu nakukubali sana.najua uko sahihi kwa kila unacho Fanya..Sheria ni tofaut na siasa
  • @
    @amoctheboy9649منذ 7 سنوات mtu anauliza et Lissu Lini utashughulikia Jimbo lako.Ama kweli Watanzania Tumefanywa Mazuzu sasa nayeye awe kama Makonda abebe miwaandishi ya Habar au id="hidden1" class="buttons"> apost Mitandaoni sasa Itakuwa uwajibukaji au Mauzo embu Watanzania Tujenge Hoja tumekua Wapuuzi kweli Dah Inauma ....وسعت 2
  • @
    @marblebaswige614منذ 7 سنوات Big up Lissu wenda utawala wa kisheria ukarejea Tanzania
  • @
    @mhagamayohana6526منذ 7 سنوات wanakuongopa wewe ni moto mkali sana
    TUNAKUSHUKULU KWA KUTUPIGANIA WATANZANIA MAHANA TUNAPATA SHIDA SANA BABA
    1
  • @
    @mottofoundationinc.3492منذ 7 سنوات huyu mjamaaa mbali na hiyo elimu ya sheria he is very talented guy 3
  • @
    @bregediatermboy2107منذ 7 سنوات Siku moja nitakuw kama ww lissu ndo mwanasiasa pekee nnae kuangalia na kuku fuatilia 1
  • @
    @josephmwakabungu8385منذ 7 سنوات Isingekuwa ni maslahi ya chama na chama Tundu Lisu anafaa sana kuwa Rais cha wanasheria nchini.Kwa uelewa wa sheria alinao angekisaidia chama cha wanasheria id="hidden2" class="buttons"> na nchi pia,wanasheria ubanganeni pmj ili kuleta mageuzi na ustawi wa sheria kwa kumchagua Tundu Lisu kuwa Rais.Wekeni itikadi na maslahi ya kila upande mtokako ktk vyama vya siasi MBALI.Boresheni chama hili kipate kuwa HAI na kustawi nchi.Tundu Lisu anafaa sana. ....وسعت
  • @
    @abdallahnamahala8137منذ 7 سنوات mimi kosa matatizo ya kuongea (kigugu mizi) ningekuwa mwanasheria kam lissu na kibatala
  • @
    @smataluqwertyu1i624منذ 7 سنوات Rais wa Tanzaniaa miaka ijayooi Lema Godblesss 1
  • @
    @rukiarswidu834منذ 7 سنوات TLS (Tundu Lissu SINGIDA) yan hata majina yako yanaendana kabisa na kuwa Rais wa TLS 2
  • @
    @gervasmoses2464منذ 7 سنوات nakuamini sanaa ww ndiye mwanasheria unayejua kufuata sheria na taratibu zote za nchi na unajitahid sana kupigana kwaajili ya haki za watanzania 3
  • @
    @mathayomkumbuchile2808منذ 7 سنوات Nikimaliza masters yangu ya linguistics nitaanza kusoma sheria ili niwe kama Lissu 3
  • @
    @rukiarswidu834منذ 7 سنوات TLS is abbreviation of Tundu Lissu Sheria.yan hata Nina lake linaendana kabisa na kuwa Rais wa TLS
  • @
    @kafitoonline6296منذ 7 سنوات haya majitu bhn kila kitu yanajifanya majuaj nayapa dole la .ti
  • @
    @KUTOKA-ep2fkمنذ 7 سنوات Festo mamboleo mkubali wewe na umwamini wewe inatosha ili ikiwezekana umwombe aje akupangilie namna ya kuishi na mke wako pia maana ni msomi kwa mujibu wa kauli yako.
  • @
    @renatuskanunu8305منذ 7 سنوات samahan mh. lissu hivi lini unashughulika na jimbo lako walau hata kusema tu kuhusu jimbo lako. I am so tired
  • @
    @festomamboleo2514منذ 7 سنوات Tundulisu wewe ni msomi mkubwa unayejua kutetea haki za watanzania cjui kwanini hii nchi haitaki kubaki kwenye ukweli ili wakuamini maana kama kusumbuana na serikali umeweza vzr na unajua kupangilia hoja vzr 12
  • @
    @masumbukosiyougomvi7900منذ 7 سنوات msumbufu kwer du kila kaz unataka!! wasom hatuna? Migabe ipo shaz
  • @
    @ayoubrogath4297منذ 7 سنوات Hahahahaha we ni mwanasiasa tu hujawahi tetea haki yangu wala hujawahi tetea wanyonge hujawahi tetea masikini ila ni siasa tu maana ww sio masikini sio mnyonge kwa hiyo wadanganye hao ulioteka akili zao
  • @
    @amoctheboy9649منذ 7 سنوات mtu anauliza et Lissu Lini utashughulikia Jimbo lako.Ama kweli Watanzania Tumefanywa Mazuzu sasa nayeye awe kama Makonda abebe miwaandishi ya Habar au id="hidden6" class="buttons"> apost Mitandaoni sasa Itakuwa uwajibukaji au Mauzo embu Watanzania Tujenge Hoja tumekua Wapuuzi kweli Dah Inauma ....وسعت 2
  • @
    @josephmwakabungu8385منذ 7 سنوات Isingekuwa ni maslahi ya chama na chama Tundu Lisu anafaa sana kuwa Rais cha wanasheria nchini.Kwa uelewa wa sheria alinao angekisaidia chama cha wanasheria id="hidden7" class="buttons"> na nchi pia,wanasheria ubanganeni pmj ili kuleta mageuzi na ustawi wa sheria kwa kumchagua Tundu Lisu kuwa Rais.Wekeni itikadi na maslahi ya kila upande mtokako ktk vyama vya siasi MBALI.Boresheni chama hili kipate kuwa HAI na kustawi nchi.Tundu Lisu anafaa sana. ....وسعت