المدة الزمنية 50:12

NAMNA YA KUISIKIA SAUTI YA MUNGU (Mungu anapoongea na wewe)

بواسطة MAHUBIRI TV
57 395 مشاهدة
0
532
تم نشره في 2019/11/14

JE! UNAWEZA KUTAMBUA MUNGU ANAPO ONGEA NA WEWE? KUPATA KITABU KINACHO ONGELEA NAMNA YA KUISIKIA SAUTI YA MUNGU PIGA SIM NUMBER +255759612430 MAREKANI NA CANADA PIGA +1515 441 4962

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 80
  • @
    @graceb2398منذ 4 سنوات I’m blessed to hear your massages always 3
  • @
    @edwardmarro978منذ 5 سنوات Machozi yananitoka moyoni Pr somo hili ni kama uliandaa kwa ajiri yangu,
    Eehh Mungu neema yako ikawe juu yetu na utupe macho ya kiroho katika pendo la Yesu kristo Amen.
    11
  • @
    @zipporahnyanchoka4291منذ 4 سنوات Wah am blessed with your preaching,thanks pastor also b blessed 2
  • @
    @asharamadhan8806منذ 5 سنوات Amina Mchungaji ubarikiwe na MUNGU wa MBINGUNI katika JINA LA YESU maana tunabarikiwa sana kwa NENO LA MUNGU unalo tuletea hakika rinatubadirisha maisha yetu MUNGU akupe afia NJEMA kila siku pamoja na familiya YAKO 1
  • @
    @hellenratemo2813منذ 3 سنوات Nice message keep it up,I have learned many things from ur sermon pastor, God bless you 3
  • @
    @catherinehenryameeen5977منذ 2 سنوات Ameeen.Asante Mungu kwa ajiri ya Mchungaji Mbanga. 1
  • @
    @lenahasantemchungajiauko8811منذ 5 سنوات Amina mchungaji nabarikiwa sana.naomba ubarikiwe Kwanza ndo ni fwatie nami. 3
  • @
    @pauloropian3093منذ 5 سنوات Thanks Uwepo wa mungu hukaa juu ya sifa " may God bless all " 3
  • @
    @selfaakinyi7824منذ 4 سنوات Eeeh mungu wangu , nijalie macho ya rohoni. 2
  • @
    @mn9484منذ 5 سنوات Ni katika roho!! Kila siku najifunza zaidi kumsikiliza Mungu hatua kwa hatua. Mungu akubariki Mchungaji, hapa USA Grace. 1
  • @
    @maryosoro5497منذ 4 سنوات Really mchungaji huwa unanibariki sana na mahubiri yako 1
  • @
    @sdawalokole9489منذ 5 سنوات Amen,Mungu ni Roho na sisi ni roho pia 2
  • @
    @roselele341منذ 5 سنوات Amina unanifungua kila siku nazidi kuwa na Imani asnt mchungaji mungu akubaliki sana 1
  • @
    @franksikombe9860منذ 5 سنوات Tumebarikiwa sana huduma yenu mungu awape uvumilivu muimbe hadi mbinguni by FRANK SIKOMBE-Katavi 1
  • @
    @maureenjovial6083منذ 4 سنوات Amina asante mchungaji nimepata kuchua Mungu n nani.naomba uongozo Wa roho mtakatifu aniwezeshe niskie sauti ya Mungu
  • @
    @petromabagala9186منذ 5 سنوات Hii kwaya huwa inanivuta karibu sana na Mungu. Mungu akubariki sana Pr Mmbaga
  • @
    @cutestpuppies6632منذ 5 سنوات Kila mara ninapokusikiliza, ninabarikiwa na kufunuliwa ukweli mpya, Mungu akubariki sana pastor
  • @
    @janehlwjn9982منذ 4 سنوات Asante kwa mahubiri yako nabarikiwa Sana nkiwa Saudi Arabia napenda Sana mafundisho yako pr ubariwe sana
  • @
    @kbsclips6515منذ 5 سنوات Mchungaji nabarikiwa sana,Mkale Uk hapa
  • @
    @keziaranga6329منذ 4 سنوات Paster ninabrikiwa sana na masomo yako umenifungua sana macho ya rohini
  • @
    @barakachongera9705منذ 3 سنوات Hakika nimejua vitu vya thamani Thana"
  • @
    @amoszacharia6909منذ 5 سنوات Hakika mchungaji masomo yako yananibariki nakunibadilisha Sana nami natumia fursa hii kuwambia watu ile Nuru ninayopata kupitia masomo yako
  • @
    @fredmselle2227منذ 3 سنوات Naomba kujua km hicho kitabu kipo moshi
  • @
    @daudnyore4696منذ 4 سنوات I hope one day I will talk, with you man of. God,may The Peace of God that passes all. Understanding keep you by the grace of God 2
  • @
    @rehemaisaack1728منذ 2 سنوات Hili somo sehemu ya pili yake inayofata naipata wapi nimetafuta humu nimekosa
  • @
    @charleskaselya7744منذ 5 سنوات Habari mm sijaelewa hubiri la umiliki, nilikuwa nalisikiliza usiku baadaye nimeikuta inaniambia video hii ni private na naisearch haipo mmeifuta? 1
  • @
    @daviddotto327منذ 5 سنوات Mungu awabariki sana waimbaji wa kwaya hii ya sauti ya jangwani kutoka shinyanga ushirika 1
  • @
    @patrickemmanuelemmanuel9354منذ 4 سنوات ubarikiwe mtumishi wa mungu ninawezaje kupata kitabu chako cha namna ya kusikia sauti ya mungu mm niko sumbawanga namba zangu za simu ni 0757392906 lkn id="hidden3" class="buttons"> pia ninachangamoto yakufanya maamzi yakuongoka nanilisha muapia mungu kwamba sitarudi tena ktk imani yangu ya zamani yaani imani ya Rc lkn kumekuwa napambano ndani yangu nakati ya watu ambao mmechangia kufungua imani mpya ndani ya roho yangu niww pr mmbanga Lawrence odondi wa kenya mchungaji Emmanuel mwakalinga wa iringa nimewafuatilisana mafundisho yenu ....وسعت
  • @
    @laithvayinga1122منذ 5 سنوات Mchungaji naomba nambaako ninashida .nashukuru kwa masomo
  • @
    @rosepeter8996منذ 4 سنوات AMENmchugaji mmbaga ninalo swali,sasa nimesikiza mahubiri yaki yakaniguza kweli,hivi ikiwa mimi nim Catholic,na sali kwa rosary,ama kwa kanisa kuna il id="hidden4" class="buttons">e picha ya yesu kama amesulubuwa,je nivyema kuviinamia au kuzishududu wakati wakuomba au ni dhambi?. ....وسعت
  • @
    @hondenisonmagufulinyabaro3923منذ 5 سنوات Hii kwaya gani please??
    Niambie Naomba tu
    1
  • @
    @elishashillah9776منذ 5 سنوات Hili somo natamani Sana, Kulipata lote, Jamani, naomba nisaidiwe kulipita! Naomba Kama unaweza nitumia ktk Email ni
    elishashillah139@ class="buttons"> au WhatsApp Number 0767522247
    Nisaidie sana
    .
    ...وسعت 1
  • @
    @erickmahindu9198منذ 4 سنوات Our father in heaven, means? He's a male
  • @
    @roselele341منذ 5 سنوات Uku sijayajua makanisa yp ila sijui yapo wapi