المدة الزمنية 12:21

KUNDI la DAMU linalosababisha MIMBA KUTOKA mara kwa mara

بواسطة IPM MEDIA
15 365 مشاهدة
0
245
تم نشره في 2020/07/19

#kundiladamu #mimba #Ipmmedia Ni muhimu kulinganisha makundi ya damu na mwenza wako Utofauti wa makundiyadamu hauathiri wanandoa pia unaweza kuwa tatizo wakati wa kupata mtoto. Utofauti wa mfumo wa ABO sio jambo kubwa, lakini sio kwa mfumo wa Rh. Kutofautiana au kutoingiliana kwa Rh ni tatizo kubwa ambalo linaweza kumuathiri mama na mtoto. Kama wazazi msipokuwa makini mnaweza kujikuta mnaharibu mimba nyingi au kupoteza maisha ya mtoto. Keywords: Group ya damu itakayokukosesha kupata watoto Yafahamu makundi ya damu mwilini na kwanini ni muhimu ujue kundi lako /bonge la afya Mimba kuharibika kutokana na utofauti wa Damu ya Baba na mama /visababishi na namna ya kuepuka Mama afya

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 152